Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,885
- 103,752
- Thread starter
- #16,841
kwani huoni canopy shade?kipindi cha mvua itakuaje abilia si wataloa
Kuna wakenya tayari wameshaanza kushangazwa na sgr ya umeme😥😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=886LVKcMQn4&t=3s
Kuna wakenya tayari wameshaanza kushangazwa na sgr ya umeme😥😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=886LVKcMQn4&t=3s
unashangaa treni?! 😳Yani leo nimeliangalia limenivutia kwa macho sana, tena sana.
Kwani kuna ubaya?unashangaa treni?! 😳
siku ya kulipanda si atavua viatu kabisa. nimemshangaa sana huyo jamaa.Kwani kuna ubaya?