Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Vituo vya SGR vya soga na pugu vikiwa vinaendelea na ujenzi, alaf nimegundua hawa yapi markezi kama wanatumia high technology kujenga hvi vituo sijui watanzania mumegundua hicho kitu👇👇👇👇👇👇👇
1F218E08-163E-4FDB-8187-E296DE4F0888.jpeg
F98BB0F3-ED2E-4E9C-AB15-0780DA1DD4AF.jpeg
 
Vituo vya SGR vya soga na pugu vikiwa vinaendelea na ujenzi, alaf nimegundua hawa yapi markezi kama wanatumia high technology kujenga hvi vituo sijui watanzania mumegundua hicho kitu👇👇👇👇👇👇👇
View attachment 962530View attachment 962531
Angalia post kama hii Kwa mfano.... eti " alaf nimegundua hawa yapi markezi kama wanatumia high technology kujenga hvi vituo "
Eti high technology... Hio ndo nini haswa??? Alafu kama kawa mtz mwenzako atalike na ku comment kitu kuhusu SGR Kenya alafu nyote mtaamua hakuna technojia kama hio Africa nzima.. blah blah ...

In reality hakuna lolote mnalojua kuhusu hivyo vituo exept render ya hicho kituo....
Mimi kwa SGR Kenya naeza kuambia hata ratio na Aina ya mchanga na density ya simiti iliotumika kulingana na kituo, naeza nikakwambia nguzo zilichimbwa Chini kiasi gani..etc
 
Angalia post kama hii, eti " alaf nimegundua hawa yapi markezi kama wanatumia high technology kujenga hvi vituo "
Eti high technology... Hio ndo nini? Alafu kama kawa mtz mwenzako atalike na ku comment kitu kuhusu SGR Kenya alafu mtaamua hakuna technojia kama hio Africa nzima.. blah blah ...

In reality hakuna lolote mnalojua kuhusu hivyo vituo exept render ya hicho kituo....
Mimi kwa SGR Kenya naeza kuambia hata ratio na Aina ya mchanga na density of ya simiti iliotumika kulingana na kituo, naeza nikakwambia nguzo zilichimbwa Chini kiasi gani..etc
Sijaelewa ni hasira au umepanic budaa hebu andika bila kutumia hasira plz nikuelewe😂😂😂😂😂😂😂
 
Anyway,

phase 2A drainage works at +km 46 (kampuni za Kenya za kibinafsi ndo hupewa kandarasi za kujenga mitaro as part of local content)

c4Sl1EW.jpg


TDcZ9K1.jpg
 
Cable laying and transformer installation at mid-point of ng'ong tunnel which is 4.5km long

JeZcUNK.jpg


FUF2Db8.jpg



Transformer Cavern at the mid-point of Ngong Tunnel
AjVNjgf.jpg


NnUzvN2.jpg
 
Anyway,

phase 2A drainage works at +km 46 (kampuni za Kenya za kibinafsi ndo hupewa kandarasi za kujenga mitaro as part of local content)

c4Sl1EW.jpg


TDcZ9K1.jpg
Construction of phase two morogoro to singida ujenzi unaendelea kwa kasi sana👇👇👇👇👇👇👇👇👇
ED47909D-5D6A-4363-976F-27576C915F2A.jpeg
869D2953-7C93-4E43-9D56-CD29DA661149.jpeg
94AF0E05-1D17-404E-B3D5-92520B067DB1.jpeg
7D8D2CD2-90C5-4B45-9179-D5386104B415.jpeg
03979F9B-A4BB-4FB1-9DE9-496CACE04EE0.jpeg
AC195358-E3AA-4603-93FF-8C5B057C8883.jpeg
ABF623A3-1260-4542-950A-A750B8CCAF30.jpeg
54A5B072-8CA7-485B-B6BA-8D450EA6EE54.jpeg
AE51B19A-3842-46AE-A903-FF97E72B0CF5.jpeg
0CD1CD9E-784B-4BEB-A96B-61C954D1DA81.jpeg
A8F07AD0-73B3-4671-A617-DD2519BB8312.jpeg
5A1B89FA-72EF-43EF-9175-136F504F841F.jpeg
F4473393-F710-418B-957F-9D5FD4504EE9.jpeg
 
After ngong tunnel which is tunnel no. 1 at the start of the great rift valley

Tunnel No. 2 Kumuka tunnel

Ca0T53x.jpg



tunnel 3. Nachu tunnel

rnj4qdK.jpg


EisF6ao.jpg
 
Tuanze na kitu muhimu kama projected cargo demand/capacity ya kila mwaka
Hvi budaa hilo ni swali unaeza uliza??? Wewe unajua tanzania imezungukwa na nchi ngapi landlock countries demand ni kubwa sana sio tu kwenye cargo hata passengers still demand ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom