Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hao wanajifurahisha tu, hapo ni kama wanacheza game ya SEGA! wachina wamekunja sura wana komaa na ajira zenu. Uhuruto wamesign mikataba mchina haondoki mpaka 2027 kwenda mbele. Mswahili akigusa mlango wa kichwa cha train tu anakula teke la shingo..
Mswahili ndo nani...hhhhh!!usituletee kiswahili cha kijinha cha tanzania hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…