The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hii ni render?
Hii ni render?
Tunawafundisha hawa kima jinsi gani sgr inapaswa iwe, co wao wameweka tuta tu tayari wanaiita SGR.
Hapana mkuuHii ni render?
Wapi hii?Hapana mkuu
Pugu stationWapi hii?
Duuhh aiseee noma.Pugu station
Ni kama hiyo au?
hapana waandishi huwa wana uvivu wa kutafuta picha!Ni kama hiyo au?
Hivi baada ya Ujenzi kumalizika Hizi Camps wanazojenga zinaenda wapi au Zinakua Mali ya nani?
kama eneo la TRC (haswa) wewe unategemea zitakuwa za nani?Hivi baada ya Ujenzi kumalizika Hizi Camps wanazojenga zinaenda wapi au Zinakua Mali ya nani?