passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,526
- 12,506
Hujielewi hujui Tanzania ina matajiri wengi na watu hawafi na njaaa kama nyie haiwezekani nchi zaidi ya Asilimia 85 ina umeme alafu wateja ni 2.7mBwahahaaaa
Hyo inaonyeshe ni jinsi gani nchi ilivyokua nyuma ndio manake mpo ldc

