Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Uyo ndo alivyo huyo huwa anakurupuka tu ukimkamata anazuga, sasa eti anazuga kwamba kuna msamiati unaitwa "kujeuza" kwamba hyo kujeuzia alimaanisha parking, wallahi nimecheka kdg nianguke
Unateseka ukiwa wapi
Kw akili zako treni za kenya zinajeuza km vile gari sio..
Maskini, km kiswahili kwako tabu sema
 
The best 007 niletee maana ya kujeuzia kutoka kwa kamusi km wewe unajua unajua kiswahili kweli
Jamaa wana force tuongee km wao..
Ile siku utapata neno hilo ni kisawe linamaana sawa na "geuka" nakulipa
 
Kwhyo hapo ndio patatumika ku control flow ya treni zenu sio
Treni zetu control inaanzia Pugu station hapo mjini inakuja ya passengers tuu na line nyingine ina branch kwenda port zinakutana ilala goodshed area ambapo kutakuwa na parking ya passengers trains.
 
Naona leo umekasirika sana kw kuwaonyesha watu km nyie hapo dar station mumejengewa kituko
Hizo ndio modern station layout kwa electrical SGR ambayo ni eco friendly wewe baki na chinese experience yako ambayo haina tofauti sana 3rd world technology
 
Hizo ndio modern station layout kwa electrical SGR ambayo ni eco friendly wewe baki na chinese experience yako ambayo haina tofauti sana 3rd world technology
Stations zenu ni mbovu. Kubali tu yaishe.
 
Back
Top Bottom