Geza Ulole that is correct. Mtwara port itapata traffic kubwa na kurelieve pressure from Dar port ambayo inabeba mizigo nyingi ikiwemo za SADC ilhali Dar port ipo mbali na SADC. Utumizi wa Mtwara port utapunguza gharama za usafiri na kupunguza muda wa usafiri na kufanya hio corridor ya Mtwara kuwa very competitive na itaweza kucompete na ports zingine za SADC. Pia itafanya town ya Mtwara kugrow na kupata biashara nyingi e.t.c. Kwa mfano, kwa sababu mizigo from Mtwara to Zambia zitakuwa zinawasili kwa haraka na kwa bei nafuu basi usishangae Zambia wakipunguza matumizi ya port of Walvis Bay in Namibia na kuongeza matumizi ya Mtwara port. Yaani 60% ya imports ya Walvis Bay port inaelekea Zambia halafu pia kiasi fulani ya copper ya Zambia pia inakuwa exported from Walvis Bay port.
Namport, operating as the National Port Authority in Namibia since 1994, manages both the Port of Walvis Bay and the Port of Lüderitz in Namibia.
www.namport.com.na
xng hua tatizo moja kubwa ya kutumia SGR kisha kuswitch to cape-gauge ni kuwa mtahitajika kujenga railway switching yard na hata pia ICD (inland container depot) maana mtahitajika kustore containers kwa muda mfupi kabla ya kuipakia kwenye train ya pili. Pia mtalazimika kununua cranes na kuzifunga kwenye ICD ili cranes hizo zitransfer containers from one train to another . Ujenzi wa ICD, switching yards na ununuzi wa cranes mpya unagharimu pesa nyingi. Mbona mpitie masaibu haya yote ilhali mnaweza kuyaepuka virahisi kwa kutumia cape-gauge badala ya SGR?