Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hamjambo humu ? SGR Dar-Moro tunafungua lini ?
Waluguru tunamengojea sana .
Tupo nyuma miaka miwili sasa au ndo Mvua
Gharama zinapanda na hakuna anaejua
 
20210225_211918.jpg
 
View attachment 1711889

mchina ana balaa .. atakavyowakamua ‍♂️
1. deni la SGR
2. kuitawala ile express for 27 fcking years
 
Hamjambo humu ? SGR Dar-Moro tunafungua lini ?
Waluguru tunamengojea sana .
Tupo nyuma miaka miwili sasa au ndo Mvua
Gharama zinapanda na hakuna anaejua
tupo nyuma 1yr kasoro ivi ,,,,mwaka huu tunamaliza shughuli kwani sehemu zilizobakia ni chache
 
Back
Top Bottom