Ntakuelezea kidgo about this..Mtwara Kuna Gas sehemu mbili..Onshore na off shore
Gas ya offshore ndo nying kuliko on shore almost 80%..ya gas iliyogunduliwa Tz..hii has haijanza kutumika bado kwa matumizi yoyote..ndo mipango..ilikuwa hyo kujenga ma LNG etc
Gas ya onshore najua iko mnazi bay..ambayo wachimbaji wakubwa ni kampuni ya Wentworth..ambapo TPDC pia wana hisa humo wentworth...hii gas ndo inayotumika..kwenye mitambo ya Kinyerezi 1 n 2 kuzalisha umeme...
Gas nyngne iko songo songo island..hyo nayo inachimbwa na inazalisha umeme
TPDC hana hisa huko Wentworth! Ila ana hisa kwenye mradi wa hii gas.. (hisa zao ni independent.. sijui kama umeelewa)
Serikali ya china ilitoa mkopo na TPDC nao walitoa hela kidogo,
anyway drop it!!