Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
- Thread starter
- #7,881
Wakenya hii co Dar-moro, hii ni Moro-Makutupora
Tuache utani huyu jamaa wa video upande wa Moro - Dom anaipenda sana kazi yake, yaani mpaka mtu unapandwa na midadi.



Hii ngoma nadhani itaisha mwakani mazee.SGR Dar-Morogoro, June update..
Wako polepole hata mimi nilidhani JPM atawakemea alipofanya ziara ya ukaguzi!Hii ngoma nadhani itaisha mwakani mazee.
Wako polepole hata mimi nilidhani JPM atawakemea alipofanya ziara ya ukaguzi!
inakaa hivyo ndo maana JPM akamwaga sifa! 😀 😀 😀 ☝Huenda shida ipo upande wa serikali. Extension ya mkataba wao ilitakiwa wamalize Oktoba 2020 ila sioni kazi ikiisha mwaka huu.
inakaa hivyo ndo maana JPM akamwaga sifa! 😀 😀 😀![]()
Tunaongelea kampuni ya Yapi Merkezi!Kwani kadogosa kabila gani?
Mwakani mwezi wa 2 au 4 kitu kitakuwa tayariHii ngoma nadhani itaisha mwakani mazee.



'mwakani' yenye tuliimbiwa December 2019Hopping that umejifungia ndani mda huu'mwakani' yenye tuliimbiwa December 2019


