Hatari sana, Mchina hana udugu na jiranipolen sana ndugu zetu ... tafuten tu namna nyingine ya kulipa deni la wachina
View attachment 1474115View attachment 1474117
walitucheka tulipokataa Bagamoyo port!Hatari sana, Mchina hana udugu na jirani
Muanze na nyie kukosoa vya kwenu, infact I have never seen any kenyani criticizing anything from his motherland in this forum.Heko kwa ku post picha ambayo inawaonyesha wajenzi pabaya, bila kuwa na msimamo wowote wa ki siasa au ushabiki wa kijinga, Kungekua na watu.
Ingekua watu kwa forum wanajadili ki hivi basi forum hii ingekua nzuri sana...
Anyway, hii ulio onyesha hapa ni changamoto moja ya kujenga mahali flat ambapo hua pako na maji mengi msimu wa mvua (swampy), unakuta maji hayana mkondo wa kufwata, ni lazima uyangojee yadidimie sakafuni au yakauke kwa jua..
Hapa itabidi watengeneze mtaro mrefu sana ambao utaondoa maji na kuyapeleka sehemu nyengine iliopo kwa mteremko
Kunyaland
Key word bieng, In this forum, i.e Yaani in this Tanzanian Forum where active and participating Kenyans number at most 20 members, where Tanzanians in their numbers every single day start topics that seek to put Kenya in bad light... Simply put, Kenyans are a minority here, and they get pushed to the corner by Tanzanians at every opportunity that presents itself, kwahivyo itakua ni nadra sana kwa mkenya kuja kuanza kuongea maovu yake hapa kwa forum kama hii ambapo mafisi yanangojea kupupurika kiushabiki.....Muanze na nyie kukosoa vya kwenu, infact I have never seen any kenyani criticizing anything from his motherland in this forum.
Wizara ya fedha imeamuru wizara zote na ofisi zake zilipe invoice zote wanao daiwa by June 30, la sivyo kwenda mbele hawata bajetiwa hela zengine hadi wamalize pending bills zote.. Kampuni ya Kenya Railways iko chini ya Department ya Transport ndani ya wizara ya Uchukuzi..
The state-controlled Kenya Railways Corp. should consider immediately terminating the contract with Africa Star, the newspaper reported, citing Solicitor General Kennedy Ogeto. A review of the contract was scheduled for May 2022, five years through the arrangement.
Kenya Recommends Chinese Company Stops Running Railway - BNN Bloomberg
Wizara ya fedha imeamuru wizara zote na ofisi zake zilipe invoice zote wanao daiwa by June 30, la sivyo kwenda mbele hawata bajetiwa hela zengine hadi wamalize pending bills zote.. Kampuni ya Kenya Railways iko chini ya Department ya Transport ndani ya wizara ya Uchukuzi..
View attachment 1475332
Mbali na hapo, kuna uwezekano hio kampuni ya Africa Star ikapokonywa kandarasi ya kuendesha biashara za reli, na kandarasi hio ipewe kampuni nyengine
kwahivyo hata Africa Star wakigoma kuendesha reli sio mwisho wa SGR, Infact SGR imepewa $180Million kwa bajeti ya mwaka huu iliosomwa leo kujenga Naivasha Industrial park.
Cku nyngne mcpolewa chang'aa huwa mnaongea point sn, btw umeeleweka mkuu, naona cku hz mna adabu kdg kwa TzKey word bieng, In this forum, i.e Yaani in this Tanzanian Forum where active and participating Kenyans number at most 20 members, where Tanzanians in their numbers every single day start topics that seek to put Kenya in bad light... Simply put, Kenyans are a minority here, and they get pushed to the corner by Tanzanians at every opportunity that presents itself, kwahivyo itakua ni nadra sana kwa mkenya kuja kuanza kuongea maovu yake hapa kwa forum kama hii ambapo mafisi yanangojea kupupurika kiushabiki.....
Ni kama vile akina CNN na BBC hupenda sana ku post maovu na mabaya kuhusu Africa.... Muafrica halisi akienda kule Uzunguni, naturally atataka kuonesha the other side of Africa kwamba pia sisi huku tuna raha, tunakula vizuri , tuna shule nzuri ambapo watu wanasoma na tuna maisha yanayoridhisha... Hii haimaniishi eti Africa hakuna shida ni tu kule nje unatetea kwenu manake hakuna mtu mwengine atatetea kwa niaba yako. Lakini utakuta muafrica huyo huyo akirudi kwao yeye ndo anaponda na ana malalamishi nchungu nzima kuhusu nchi yake.