Miaka 45 ilo pita Mwalimu kwa kushirikiana na cabinet yake na ile Ya Zambia ikiongozwa na Kaunda waliamua kujenga Railway inayo unganisha Tanzania na Zambia.
China alitoa Mkopo na ujuzi huku wakiwa katika hali ngumu ya Uchumi lakini Infrastructure za TAZARA zimebaki kuwa za kipekee kote Zambia na Tanzania. Main Station zake zote ni za kipekee zinaenda na wakati.
Ingawa TAZARA imejengwa 45 years ilopita Main staion zake ni bora mara 500 kuliko tunazojengewa sasa na Sgr
Ukweli always utabaki ni white na hauwei kuwa mweusi...na Kwa Ufupi am telling you Watanzania sio Wajinga wanajua na wana elewa kinacho endelea
View attachment 1403260View attachment 1403261View attachment 1403262View attachment 1403263
Sent from my iPad using JamiiForums