Punguza uzembe, Eti kujenga jengo kubwa ni kuharibu mazingira 🤣🤣🤣..
Feasibility yetu ni ya reli inayotarajiwa kukaa kwa miaka mia moja imezingatia hali zote za mazingira!!!!!! Infact, mazingira yalizingatiwa zadi ya hiyo reli yenu ambayo nimesoma feasibility study yake......
Unafikiri kwanini SGR yetu ina madaraja kibao????
Hili eneo la tzavo national park liko flat, unafikiri kwanini liko na daraja refu la zaidi ya 7km????
Hivi unajua kwanini daraja la NN park linawekwa Noise deflectors ambayo pia inazulia mwangaza wa treni ikipita na usiku, na misingi ya madaraja imechimbiwa chini zaidi ili kupunguza vibrations??
View attachment 1212149
Hebu sasa nipatie mifano vipi mmnazingatia mazingira huko kwa SGR yenu