Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
- Thread starter
- #4,001
We unajua height ni meter ngapi apo?Hayo mahandaki ni madogo sana.Ile inayoitwa 'double stack' itapita hapo kweli?
Usisahau mtambo wenu wa konyagi utapita kwenye low quality rail.Stesheni za maghorofa zinafanana na vyoo vya umma vya Mombasaza Mtambo wa chang'aa hazipiti ila electric train zinapita bila matatizo


low quality ulipima? Ulitumia vipimo gani? Na lini ulipima? Ulikuwa na nani ukipima? Usisahau mtambo wenu wa konyagi utapita kwenye low quality rail.Stesheni za maghorofa zinafanana na vyoo vya umma vya Mombasa
Dah 😳 kumbe nabishana na boxerHujui kuwa pombe ya konyagi ni bora kuliko pombe za kienyeji changaalow quality ulipima? Ulitumia vipimo gani? Na lini ulipima? Ulikuwa na nani ukipima?
Gari moshi.
Dahkumbe nabishana na boxer
Niki-retaliate kidogo mnahemka balaa.#4023👆👆Sibishani na branilijua mwanaume
Does this mean award of tender or they are evaluating the received tenders?
...Yajayo yanafurahisha🙂Halafu ametumia picha za Germany DB trains. Kwa hivo kuna uwezekano wa kuagizwa treni za Siemens ama vipi 🙂
Nawaseme Lingine maana hili ni pigo kwao 😀😀
Kelele za. Twitter za serikali usifuate,,,kazi ikianza kuonekana physically ndiyo tutaamini,Nawaseme Lingine maana hili ni pigo kwao 😀😀
Inaweza isiwe tayar Nov lakin double stack ipo palepaleKelele za. Twitter za serikali usifuate,,,kazi ikianza kuonekana physically ndiyo tutaamini,
Huwa nadanganya kama mazuzu nyinyi,
Nakumbuka tweets za "november tunatekeleza rasmi" acha tuone iyo November kama sgr itaanza kuwork


.You said the train will start working in November and here we are approaching Nov but no signs of trains.
Inaweza isiwe tayar Nov lakin double stack ipo palepale
ha haa umeuwa kakaza Mtambo wa chang'aa hazipiti ila electric train zinapita bila matatizo
wataelewa tu