Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Earth work imekamilika bado kutoboa miamba na kumalizia stations na madaraja ,Kwahiyo wacha tarehe ifike ndio uanze blabbering.
Watu waliibeza china hvyo hvyo haiwez inuka na ikafanikiwa kuwa amongst industrialized nation with in 5 years.
We wacha date ifike ndio uongee
kutoboa miamba haihusiki na phase I Dar-Moro miamba ile ipo Kilosa na Kilosa ni kati ya Moro-Dodoma yaani phase II Morogoro-Makutupora.
 
hizo tunnels zitatudhirisha if you'll double stack or not and from a photo I've seen, I don't think so but we'll wait. Time will reveal.
 
We unaonaje hapa👇👇👇
BC545F44-FB94-4786-B7AE-C2B44ED3E127.jpeg
D89E3DA0-A4F2-40A6-8FA6-BCC6CDDE3EFE.jpeg
D4A3E4B0-AE0F-4C4C-8DDB-C22C5B45E5C8.jpeg
 
Si bora ingekua mmealika mabalozi wa kutoka nchi mbali mbali walioko hapo Tz ili ku wauzia hio SGR yenu nzuri ndo wapeleke habari kwa nchi zao husika.....

Yani mliketi chini na mkaamua matumizi ya pesa zenu ni bora mkate tiketi kwa mabalozi wenu watanzania muwaregeshe nyumbani waje watembelee SGR, faida yake ni nini?
 
They came back for SADC since each ambassador is to assume chairmanship of SADC in his respective country!

Si bora ingekua mmealika mabalozi wa kutoka nchi mbali mbali walioko hapo Tz ili ku wauzia hio SGR yenu nzuri ndo wapeleke habari kwa nchi zao husika.....

Yani mliketi chini na mkaamua matumizi ya pesa zenu ni bora mkate tiketi kwa mabalozi wenu watanzania muwaregeshe nyumbani waje watembelee SGR, faida yake ni nini?
wamefika kuhudhuria kikao cha Sadc haya unayoyaona ni ziada
 
Back
Top Bottom