Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,149
- 107,714
- Thread starter
-
- #3,781
TAZARA haina train kama hizo sasa! Most of engines r American made!Train yenu ya kitambo madirisha yanafunguka, Train tuliyo nayo madirisha hayafunguki na ndani kuna Air condition... Treni yenu ya kitambo inaenda ikitetemeka na kuyumba yumba, train yetu iko smooth ukiwa ndani unajiskia ni kama uko ndani ya ndege... etc... Train tuliyonayo ni model ya juzi juzi, train mlio nayo ni model ya 1965! Usione eti ile bodi inafana na yenu ukafikiria eti ziko sawa.
Kwa mfano hichi kichwa cha treni mlichokuamnatumia enzi zile za Tazara ikianza, Mtu anaeza akasema imefanana na kicha cha treni zetu za kubeba mizigo, Lakini hii model ya DFH-09B ni model ya 1964! na waliacha kuzitengeneza enzi za 70's
Model tunayoitumia sisi Kenya ni DF8B ambayo production ilianza 1997 na hadi wa leo bado ziko in production, Inatumia Electric Transmission wakati hio ya Tazara ilikua inatumia Hydraulic transmission...
The second generation DF8, the DF8B, is powered by an updated 16V280ZJA engine with 3,680 kW (4,930 hp). Production started in 1997 and lasts until today. Qishuyan, Dalian and Ziyang manufacture 0, 3000, 5000, 7000 and 9000 series of DF8B respectively.
Na ile ya Abiria nayo ni DF11G ambayo ni model ya 2004
Kwahivyo usione eti vitu vina fanana kwa kwa mbali ukadhani eti viko sawa, Hata Boeign ya Kitambo na ya Sasa utakuta zafanan kwa mbali kwasababu ni kampuni ile ile inajaribu kuboresha design ile ile, Lakini haimanishi eti ya zamani na ya kitambo ziko sawa.
Ahsante sana. Case closed.
Mmeacha kula viwavijeshi hapo Dodoma?Oya kuna uhuni umeufanya hapo kwenye post yangu eeeh
Ukweli ni kwamba turkana is the worst
Oya kuna uhuni umeufanya hapo kwenye post yangu eeeh
Ukweli ni kwamba turkana is the worst
Anajiona mjanja sana...Ana tabia ya kuedit comment za watu hiyo pisi
But you had those trains in the beginnig, Infact wewe ushawahi kuleta picha kama hio ukasema eti train za Kenya ni za 1970s zilizotumika kwa Tazara ya kitambo kwasababu eti zimefananaTAZARA haina train kama hizo sasa! Most of engines r American made!
They say huku ni kudandia treni kwa mbele.Ana tabia ya kuedit comment za watu hiyo pisi
They say huku ni kudandia treni kwa mbele.
Hebu lete ushahidi .Wapi kwingine nimeediti?
I told you to substantiate your claims you dandaGIZAn or else.. Shut your jigger-infested mouthHujaanza leo, kuna siku uliedit pia yangu na za wengine pia
I told you to substantiate your claims you dandaGIZAn or else.. Shut your jigger-infested mouth
Sawa. Vaa surualiSibishani na bra [emoji23][emoji23][emoji23] nilijua mwanaume
Weka Dp yako basi tukuoneSawa. Vaa suruali
Dp ndiyo nini wewe kijana mwenye mkono wa fulana?Weka Dp yako basi tukuone
Stesheni za ghorofa zi kwapi ichoboy01kwa kusema ukweli reli ya kenya na steheni zao ni za hali ya juu sana ila hizo trni kwa kweli wameingizwa mkenge,hazifanani na hadhi ya stesheni walizojenga
Hapo wameambulia station hakuna cha reli wa treni zote wamelishwa matango poriππkwa kusema ukweli reli ya kenya na steheni zao ni za hali ya juu sana ila hizo trni kwa kweli wameingizwa mkenge,hazifanani na hadhi ya stesheni walizojenga