Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Stop being too pedantic,

Coodip 1 has given you the answer, umeshaiosoma?

Diesel-electric locomotives sio dual mode but a diesel generator with electric traction motors for turning the wheels. What you mean is electro-diesel locomotives which are expensive and not widely used. Mpaka saa hii sijaona mpango yoyote ya ku unua locomotives ya TZ SGR na ati mnataka kuanza operatios November..., sioni kama zitakua hybrid locomotives.
Reasons for Kenya to use diesel first
1. Cheap to begin, no power lines to construct saa hii.
2. Kenya haina base load power reserves big enough to sustain reliable SGR trains. Maybe by 2025.
3. Diesel trains bado zitafanya kazi on electrified paths, so upgrades zinaeza fanywa pole pole.
4. Easier to do double stacking
5. Reliable and power grid issues independent. Kaxi haisimami the whole route

Sisi tutanunua mchanganyiko wa pure electric trains and hizo dual mode electric/diesel trains as mentioned by coodip1 below:

View attachment 1142849

Soma tuu hayo maelezo ya locomotives with duo power ujielimishe kdg uache ubishi
 
Bandari ya Mombasa imeongeza faida kutoka $380m Hadi $450m mwaka jana... Hio ni sector moja Tu ya logistics hatujaongelea impact yake Kwa Uchumi... Yani last week nilifurahia kusoma vile meli ilifika Msa na contena kama 6,000 na kama bado hawajamaliza kushukisha mizigo yote, tayari ilikua contena zilishoshukishwa zishafikishwa Nairobi wakati meli bado iko bandarini!!!

Gharama ya uendeshaji SGR nyingi huenda Kwa maintenance, fuel ... Hii ni gharama ambayo Sana Sana itabaki constant au kupanda kwa kiasi kidogo Sana .... Wakati Kwa upande mwengine revenue ya mizigo huongezeka exponentially Yani baada ya miezi sita ya Kwanza revenue iliongezeka mara dufu, baada ya miezi sita miengine revenue ikapanda mara 2.5 Yani inazidi kuongezeka kila baada ya miezi sita... Sahii ni mwaka mmoja na nusu tangu tuanze kubeba mizigo.... Kadri mizigo zaidi inazidi kubebwa na SGR revenue itazidi kupanda wakati gharama ya kusafirisha itaendelea kubaki Kwa range ile ile ...

BTW hata nyinyi mtapatwa na changamoto hio hio hapo mwanzo mwanzo, mtafikiria mmetengeneza faida alafu baada ya kulipa watu mishahara. TANESCO watabisha mlango na kudai hela Yao ya stima ...mwishowe mtajikuta na loss ..... Itabidi muendelee kuongeza mizigo zaidi Hadi ule wakati itakua mnabeba kama 60% ya mizigo yote inayoshuka bandarini.... Jambo ambalo haliwezi kufanyika mwaka wa Kwanza... Labda JPM aamuru TRA isilipe TANESCO gharama ya umeme ndo mtatengeneza instant profit!!!

BTW naona Yepi Merkezi ako bussy akieka milingoti ya stima lakini sijaskia mkianzisha project ya ku stabilize umeme Tz na kupunguza blackouts ... Chungeni msiwe kama Ethiopia, umeme wanao kwa wingi kuwashinda lakini bado electric train hukwama Kwa masaa njiani sababu stima zimepotea... Kwahivyo badala ya kuangalia ya huku Kenya ambayo tayari inafanya kazi, chunga sije ukajisahau kwamba mna yenu ya kutafakari Kwa hio yenu ambayo haijaanza kufanya kazi.
SGR NI ya mchina. Unashangilia wakati upati chochote hapo,zaida ya kuona
 
Kwhyo bado mnaleta burret turein...au mipango ikoje
Kwa akili yako kuna locomotive ambayo ni bulllet au unachanganya madesa. Bullet trains ni kwa passengers mostly and not necessarily zivutwe na locomotives but inakuwa EMU
 
Kinyerezi 1 extension 185MW to be completed this year...most of its power is for the SGR
 
Kazi ya stations na sustations za umeme inaendelea na mkandarasi mwingine siyo yapi. Kuna kituo kinajengwa kila baada ya kms 50. Kama huwa unaziangalia vizuri monthly progress videos za yapi, huwa kuna vituo vinaonekana upande wa kulia wa reli.
Hizo substations na kila kitu chake ni Kwa minajili ya kudistribute stima Kwa SGR .... Nilichokua ninakiongelea ni usambazaji wa stima kutoka Kwa power plant Hadi Kwa SGR Substations
... Kumbuka stima inayosambaziwa wananchi ndo ile ile itakayoelekezwa Kwa SGR ...... Ikipotea kutoka Kwa power plant hakuna lolote ambalo miundombinu ya SGR inaweza fanya, TANESCO ndo kampuni itakayohusika na kuhakikisha Stima ya kwenda kwa SGR haikatiki ... Je TANESCO wamefanya nini kuhakikisha stable supply ya stima Kwa SGR manake wanahitajika kusambaza stima bila kufeli... Yani 99.9% availability
 
Nairobi commuter train
tapatalk_1561976206843.jpeg
tapatalk_1561976211765.jpeg
tapatalk_1561976216210.jpeg
 
Hizo substations na kila kitu chake ni Kwa minajili ya kudistribute stima Kwa SGR .... Nilichokua ninakiongelea ni usambazaji wa stima kutoka Kwa power plant Hadi Kwa SGR Substations
... Kumbuka stima inayosambaziwa wananchi ndo ile ile itakayoelekezwa Kwa SGR ...... Ikipotea kutoka Kwa power plant hakuna lolote ambalo miundombinu ya SGR inaweza fanya, TANESCO ndo kampuni itakayohusika na kuhakikisha Stima ya kwenda kwa SGR haikatiki ... Je TANESCO wamefanya nini kuhakikisha stable supply ya stima Kwa SGR manake wanahitajika kusambaza stima bila kufeli... Yani 99.9% availability
Ukitamka neno stima najiskia vibaya hebu jifunze kuita umeme bwana
 
Hivi unajua hizo stations zina standby generators incase of power outage!
 
Ukitamka neno stima najiskia vibaya hebu jifunze kuita umeme bwana
Sisi hatusikii vibaya mkitumia neno shoga kumaanisha rafiki .

Stima huku kwetu ni sawa kabisa, tena usisahau lahaja ya kimvita ni kubwa kuliko yoyote ya Kiswahili cha Tz
 
Sammuel999, according to the report u haven't secured funds for other phases n though SRG in Tanzania's length is 4 times Kenya's, it's cost is twice Kenya's! Bwahaha since two arms of rift valley dissect Tanzania implying Chinese have overcharged u people if a comparison is to be undertaken btn Kenya's SRG n that of Tanzania or Ethiopia! And yet speed limit caped at 80 km/hr in Kenya..
No chinese didn’t overcharge us, wanasiasa wetu waliongeza figures tu alafu wakaiba za juu, washenzi sana
 
Back
Top Bottom