EZZ CHEZZ
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,230
- 1,352
Accidents zipo hata Ulaya.
Geza na Joto, mbona hamtuonyeshi haya?
Geza na Joto, mbona hamtuonyeshi haya?
Leta link au budget extract kuonyesha hizo pesa za ndaniHii habari imeandikwa na Mkenya kwenye gazeti la east Africa...nia yenu huwa inajulikana..kma ni goverment of Tz yenyewe walisema tumechukua mkopo kutoka Standard bank...kwann wasiseme kuhusu exim bank ya turkey....hii phase 1 hela yote ni goverment.phase 2 ya 1.9bn USD 1.46 ni standard na usd540mil zilizobaki goverment ya Tz ..siwez kuamini gazeti la kikenya bila hata hyo bank ya uturuki,govt ya tz au hata ya turkey kusema kitu
Tanzania secures $1.46b SGR loan from Stanchart
Funds will enable Tanzania to build the 430km line between Morogoro and Makutupora.www.theeastafrican.co.ke
Nenda Bunge website angalia ministry of finance budget for past 3 years utaona! Over $1.4bln has so far been allocated!Le
Leta link au budget extract kuonyesha hizo pesa za ndani
Hyo ndio link umeleta...ama hamna link..leta hta ile vudeo ya jiwe basi aliposema tunatumia pesa za ndani...huenda tukaaminiNenda Bunge website angalia ministry of finance budget for past 3 years utaona! Over $1.4bln has so far been allocated!
Unaitakia Nini? Kaa na hili lenu la kizamaniHey Tanzanians, I want to see that station ya 20floor building, ile ya Dar. Ama inajengwa binguni?
Kama hizi in za kizamani basis sijui zenyu zitakuwa za which era? Kenya's SGR stations.
Ebu tuonyeshe zile zenyu nicheke kidogoHapo ndio mnapanda juu halafu mnashuka chini tena kupanda gari moshiiii
View attachment 1132096
Ebu tuonyeshe zile zenyu nicheke kidogo
Kaa Nazo hizo. Mtuachie na UJENZI wetu wa umeme. Sp 160km/h 120km/h goods. Nyang'ao wanaita stema. Kelele za Nini?Kama hizi in za kizamani basis sijui zenyu zitakuwa za which era? Kenya's SGR stations.
1.Voi station.View attachment 11320842.Miasenyi stationView attachment 11320853. Mai mahiu stationView attachment 11320864. Kibwezi station.View attachment 11320875. Mombasa stationView attachment 1132088View attachment 11320896. Nairobi stationView attachment 1132090
Bila link ni propaganda tuu... mtalipa loanNenda Bunge website angalia ministry of finance budget for past 3 years utaona! Over $1.4bln has so far been allocated!
Mimi nadhani kelele za ujenzi kuchelewa zingeanza baada ya Nov 2019. Mkataba unasema ujenzi utakamilika wakati huo. Kwa sasa siyo ishu kuendelea kupigs ramli zisizo na msingi.
Hiyo project ya Mombasa Nairobi ilikuwa na terms tofauti kabisa na hii ya kwetu.
Kwa mfano: Nyinyi mna-finance reli yenu kwa mkopo asilimia mia. Hivyo kufanya construction kwa muda mrefu say miaka mitatu tayari kunaanza kumomonyoa viability ya mradi.
Sisi kwa sehemu kubwa tunatumia pesa zetu wenyewe. Given our small economy hatuwezi ku-disburse pesa nyingi at par. Mambo mengine yatakwama.
So, rafiki zetu msubiri Novemba ndiyo muanze kuchonga kuhusu delays.
Hii kitu ni majangaPoint of addition...”Uko kenya anayetoa hela ndo anayejenga na kuendesha train”
Ugandas assessment of the viability of the different transport corridors and their ultimate choice......
View attachment 1138856
View attachment 1138857
View attachment 1138858
View attachment 1138859
View attachment 1138860
View attachment 1138861
View attachment 1138862
View attachment 1138863
what this document is saying is that TZ SGR IS USELESS AND A WASTE OF TIME. their is no justification for the cost(resources and time) to justify it. Uganda knows where to put their money and that is on the Northern corridor. Kenya's SGR remains the best deal in the region in terms of quality, cost, capacity and operation-wise.
Tumia Kiswahili ueleweke. Huu ni ushuzi umeandika hapa 😂Why is your SGR white elephant now if is more profitable and reliable more than any in EA?!
Naona sindano umeingia sawasawa 😂😂. Natumai umesoma hizo comparison zote. SGR yenu huwezi linganisha na ya Kenya na UgandaWhy is your SGR white elephant now if is more profitable and reliable more than any in EA?!