Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,676
- 11,110
Ndio
God save us
Ndio
Huo mkopo utawatesa mpaka wajukuu zenuFor the lazy baboons from the South, do you see the real definition of SGR station?View attachment 1072933View attachment 1072934View attachment 1072935
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la mkopo huchomoi mitego ya Wanaokukopesha wachina waliwabanaNilijua utaniletea hii story.. ninacho maanisha mlitangaza tender?! Ata kupata huyo mkandarasi wa ujenzi watu wenu walienda China pia ila haiondoi zana kwamba kila kitu kilikua kimechorwa tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bagamoyo port imekua ndoto ya watanzania tokea kitambo Sana! Hii haikua idea ya wachina! mlikua mmejaribu kila kitu na mkakosa funding, hapo ndo wachina walikuja wakawapatia offer ambayo hamtakataa, kwamba watawajengea kila kitu bure.Hapo unaongelea opportunity cost, kwa case ya Bagamoyo that cost is almost zero. Hao wawekezaji wameona fursa sisi tunawapa uwanja wapambane, malengo yao ni zaidi ya port watajenga mpaka industrial park na kuleta wawekezaji kwa kutumia contacts zao. Hiko unacho kisema wewe kwa case ya Bagamoyo hakina mashiko kwa sababu ata wachina wasinge kuja na huo mradi, huo mpango wakujenga port Bagamoyo haupo ata kwa miaka 50 ijayo so kuwa achia wafanye yao huku tukipata kodi na kutengeneza ajira ni big win kwetu, ice on the cake ownership ita transfer to GoT. Nyinyi hiyo road for your own reasons mnahisi mnaihitaji sasa hivi kwa hiyo kupiga mahesabu hayo ni sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tz haihitaji Bagamoyo port kwa sasa hivi ndiyo maana kwenye mkataba wachina waliweka kipengele cha kutofanyika expansion ya port yoyote tz baada ya wao kuwekeza. Magu ali stop hiyo kitu na ana expand ports zote sasa hivi. Kwa projections bado hizi zilizopo zinaweza kutusogeza zaidi ya miaka 30. Eventually tutahitaji new port ila bado sana, huu mradi ulikua na msukumo zaidi kwenye awamu iliyopita kwa sababu ambazo sitozitaja.Bagamoyo port imekua ndoto ya watanzania tokea kitambo Sana! Hii haikua idea ya wachina! mlikua mmejaribu kila kitu na mkakosa funding, hapo ndo wachina walikuja wakawapatia offer ambayo hamtakataa, kwamba watawajengea kila kitu bure.
Naeza nikakupatia mfano mwengine, Total ndo watachagua ni Kampuni ghani itajenga bomba la mafuta juu ni hao ndo watashughulika kuchanga capital funding, usishangae ukiona Kampuni ya ki faransa au Kampuni ilio na agreement na ufaransa ikihusika. Unaeza ukapinga Kwa kusema kwaamba but hio ni private investment, na mi ntakwambia kwamba Kampuni itakayojengwa italipwa na pesa za mafuta ambayo ni Mali ya wananchi wa UG.
Nitasave hii comment yako miaka mitatu kutoka sasa bagamoyo ikianza kujengwa nije nikuulize ulitungaje hii hadithi....Tz haihitaji Bagamoyo port kwa sasa hivi ndiyo maana kwenye mkataba wachina waliweka kipengele cha kutofanyika expansion ya port yoyote tz baada ya wao kuwekeza. Magu ali stop hiyo kitu na ana expand ports zote sasa hivi. Kwa projections bado hizi zilizopo zinaweza kutusogeza zaidi ya miaka 30. Eventually tutahitaji new port ila bado sana, huu mradi ulikua na msukumo zaidi kwenye awamu iliyopita kwa sababu ambazo sitozitaja.
Ishu ya mafuta ambayo ni natural resource, total alisha wekeza pesa nyingi sana mpaka kufika hapa, na ata akikopa atakopa kupitia andiko la mradi wa kibiashara na hakuna kubahatisha kama SGR yenu ambayo inasikilizia mizigo ya majirani, huku M7 haeleweki mara yupo Dar! Kagame ndiyo amewakana kabisa. Huku mnaanza kulipa deni mara moja baada grace period kuisha na pesa inatoka kwenye hadhina yenu, faida iwepo au isiwepo. Anyways, wewe amini unacho taka kuamini, maana naona unapoelekea utaleta ata mifano ya pyramids za Egypt.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Wewe hujaelewa! Kujengwa itajengwa ila siyo kipaumbele chetu kwa sasa. Huo mradi ulisimamishwa kwa muda siyo kufutwa, moja ya sababu ni hiyo nilio kutajia awali.Nitasave hii comment yako miaka mitatu kutoka sasa bagamoyo ikianza kujengwa nije nikuulize ulitungaje hii hadithi....
Kuna tajiri mmoja mzawa ana utaka huu mradi! Na amepewa green light. Huu mradi unaweza kamilika fasta kabla ya SGR to Mwanza.
kitochi
that's good project. it will attract more touristKuna tajiri mmoja mzawa ana utaka huu mradi! Na amepewa green light. Huu mradi unaweza kamilika fasta kabla ya SGR to Mwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
siku moja kuna mtu alikua ananiambia hata Malaysia wanatumia mtindo kujenga miundo mbinu yao halafu watumiaji wanalipia wakati wa matumizi hii itasaidia kupunguza madeni serikali kuuKuna tajiri mmoja mzawa ana utaka huu mradi! Na amepewa green light. Huu mradi unaweza kamilika fasta kabla ya SGR to Mwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mkopo utawatesa mpaka wajukuu zenu
Tatizo la mkopo huchomoi mitego ya Wanaokukopesha wachina waliwabana
Kaongea vizuri juu ya masafa Eng. Kilaba.