Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
😂😂😂😂bro! Hatujibambi. Actually, SGR ya Kenya inapendeza ndio maana hii ni mara ya pili kuona mtz akidai kwamba ni yao.
So the Turkish firm is building a low quality rail at a low cost.Mta~repair hadi mchoke.
Ingekua ni mkenya ametumia picha za SGR Tanzania na kudai ni Kenya! Heheeee, JF hakungekalika! Mwanzo watz wangeanzisha Mada mpya kujadili utumiaji wa hio picha sahii ingekua comments zimefika kurasa 50