Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,197
- 107,793
- Thread starter
-
- #21,301
ππAisee TRC hii ni aibu kwa camera kutofanya kazi kwenye mabehewa
Mkuu,,, we acha tu... πMwaka 2024 nilikwenda Mwanza nikakuta mradi wa SGR umesimama majuzi nimerudi tena Mwanza mradi uko vile vile
RIP JPM
Wabongo hatuna mandonga namna hiyo!πππ
View attachment 3658368