Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

1782670044030.png
 
Ni suala la muda tu 😁😁.
SGR inaenda kua Tazara.
Tazara haikuwa reli ya biashara. Ilijengwa mahususi kwajili ya kusafirisha silaha kusini mwa Africa wakati wa harakati za ukomnbozi ndio maana inaitwa pia, "Reli ya Uhuru".

Wakati Zambia tumewapatia uhuru walifungiwa kutumia bandari zote za South Africa ndio kupushi hii project.
 
Back
Top Bottom