sasa madame π π π wewe ndo umeanzisha fujo unategemea nnrudi nyuma ufatilie uzi vizuri kisha uangalie kichwa cha mada kinahusu nn. sio unahara kila pahali kisha utake nikuchukulie serious
sasa si treni yenu ama unaikatata tena π€£π€£
sasa mbna kila saa unakimbia tukiwa na convo, unaanzisha mada mwenyewe tukireply unakimbia, hio sio fair gameVipi safari zimeanza au bado?
Nakushangaa sana bro. Nakuletea vitu vya usiku huu huu na ww uko bize kuleta vitu vya miaka kumi iliopita. ππsasa si treni yenu ama unaikatata tena π€£π€£
bro π€£ π€£ hii ni latest mwaka huu unaita miaka kumi nyumaNakushangaa sana bro. Nakuletea vitu vya usiku huu huu na ww uko bize kuleta vitu vya miaka kumi iliopita. ππ
apo vp mwandamboNakushangaa sana bro. Nakuletea vitu vya usiku huu huu na ww uko bize kuleta vitu vya miaka kumi iliopita. ππ
ππbro π€£ π€£ hii ni latest mwaka huu unaita miaka kumi nyuma
View: https://x.com/AfricanHub_/status/2022672276701802765?s=20
au itakua ya kipindi cha hitler, maaana unalalamika kila saa π€£ π€£ππ
Unapata tabu sana
Niletee commuter train yenu if you have one.
Picha ya 2016, treni ya mizigo. A first in East Africa.mkajiandaa kabisa kwenda kuipokea π€£ π€£
View attachment 3617435
apo ni wewe tu unataka zp? kuna zilizotengenezwa apa apa, unataka zpNiletee commuter train yenu if you have one.
aya tuonyeshe ya 2026 sasa π€£Picha ya 2016, treni ya mizigo. A first in East Africa.
Of course nilitarajia hautonielewa.apo ni wewe tu unataka zp? kuna zilizotengenezwa apa apa, unataka zp
View attachment 3617436
View: https://youtu.be/LCY5Je98MGU
Mbona ww usilete? πaya tuonyeshe ya 2026 sasa π€£
yaaani watu sio watu wazuri, walikua wanasingizia ili iweje sasa π€£
Economy Class Review, nini mbaya na io video?yaaani watu sio watu wazuri, walikua wanasingizia ili iweje sasa π€£
View: https://www.youtube.com/shorts/L-DjAQkXCCw?feature=share
nlijua mnaelewaga kumbe mpo machokoraa π€£π€£ hizo znaitwa WAGON znafungwa kwenye MGR ambayo ndo commuter inatumia pia, if you want to see the exact train hii apaOf course nilitarajia hautonielewa.
Ukishajua Commuter Train ni nini, njoo unijibu.