Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
- Thread starter
- #20,621
Mradi ushaishahauhitaji tena man work, zimebak vitu kama kuweka umemeMradi wa SGR Mwanza Ndio Basi tena
Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi umesimama na maisha yamekuwa magumu kwa wafanyakazi hawakutegemea kilichotokea.
![]()
Unataka nikuamini vipi sasa?Mradi ushaishahauhitaji tena man work, zimebak vitu kama kuweka umeme
alafu si ulikua unaulizia za mizigo, we have both ya containers na normal goods check this videoUnataka nikuamini vipi sasa?
Ndo kupo ivo mpaka mwanza, ujenzi ambao umebaki ni kwenda kigoma, burundi na congoMorogoro - Mkatupora? 🤣
maskini 🤣 🤣 🤣 but ndo hivo huna other option diesel is the way you have to goMagnificent!
View attachment 3524547
and these for the containersMagnificent!
View attachment 3524547
hakupoi tayar gorofa lishaanguka uko na wanasema la pemben yake nalo la kuangusha, mambo hayapoiKwa jirani hakupoi kabisa 😂😂.
the cargo SGRHii video ni ya nn, mbona kama tunapotezeana mda?
alafu mbna unaongea kwa huzuni, kaza sauti 🤣 🤣Hii video ni ya nn, mbona kama tunapotezeana mda?