stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,766
- 15,669
nimeskia kuna mtu anawaita singapoor
Unamaanisha nn sasa? Kwamba hio sio reli ya Tanzania, ni ya Australia au vipi?
sasa mzee huna treni ya umeme alafu unatoa ushauri kwa mwenye treni ya umeme
Yenu ya umeme iko wapi mda huu, sisi yetu inaendelea kuchana mbuga.sasa mzee huna treni ya umeme alafu unatoa ushauri kwa mwenye treni ya umeme
Ile sio treni ni LOCOMOTIVE, btw leo talanta inawekwa seats 🤣 🤣 🤣Yenu ya umeme iko wapi mda huu, sisi yetu inaendelea kuchana mbuga.
Ile sio treni ni LOCOMOTIVE, btw leo talanta inawekwa seats 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/TeyaKevin/status/2007119253644640517?s=20
umeangalia hio video lakini 🤣 🤣 ulitakiwa uhuzunike vibaya mnoUtanyooka tu 😂😂😂.
Hata America nzima wanatumia diesel btw...kwahio mlikua mnategemea hazitakua na challenges ama 🤣 🤣 , we know unaumia lakini hamna namna diesel is the way for you
they have started upgrading to electric
they have started upgrading to electric
scenes ingine pale sgr