Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Lewis254 atajifanya hakuiona hii😁😂😎
Hii ni rahisi sana kueleza, kuna safari ya usiku wa manane iliongezewa mwaka jana. Yani safari ya kutoka 10PM na unafika 3AM. Hii train ya usiku haijashika soko (especially kati kati ya wiki) manake si watu wengi wanataka kumaliza safari saa tisa usiku unless uko na biashara au kazi yenye umechelewa, weekend tu ndo hua inajaa. Lakini safari za mchana zote hua ni zaidi ya 90% full.
 


Hebu nielezeni, Bandari ya Dar ilisafirisha mizigo tani ngapi ama kontena millioni ngapi mwaka wa 2024?

Manake kama mizigo yote iliopitia Dar 2024 ni 20-23 Million tonnes, na Kenya kupitia Bandari ya Mombasa ilisafirisha 13 million tonnes kwa nchi jirani pekee, inamaanisha mizigo ya nchi jirani iliopitia Mombasa ni 50% ya throughput ya bandari ya Dar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…