Asante! huo uzoefu ulionao nimsaada mkubwa kama utautoa,Mkuu unataka kulima mihogo wapi?.maana mimi ninauzoefu kidogo kwa maeneo ya rufiji......japo sasa uko mambo si shwari kiuslama.....ila ni jambo la muda tu.
mkuu avater yako mbona umeniiga,au wewe ni Dotto?Mkuu unataka kulima mihogo wapi?.maana mimi ninauzoefu kidogo kwa maeneo ya rufiji......japo sasa uko mambo si shwari kiuslama.....ila ni jambo la muda tu.
mm natka kukifanyia kilimo hiki pale bungu karibu na kibiti nipe mchanganuo,mahitaj,gharama piaMkuu unataka kulima mihogo wapi?.maana mimi ninauzoefu kidogo kwa maeneo ya rufiji......japo sasa uko mambo si shwari kiuslama.....ila ni jambo la muda tu.
Mimi kulwa .....Maana mimi ipo muda tumkuu avater yako mbona umeniiga,au wewe ni Dotto?
Pangae au karibu na kibiti sec Almarufu kinyanya ndio unataka kulima mihogomm natka kukifanyia kilimo hiki pale bungu karibu na kibiti nipe mchanganuo,mahitaj,gharama pia