Hata kama hatujui chanzo cha uhai, hakutupi mwanya wa kuashumu kwamba Mungu ndiye aliyeumba.
Ukisema Mungu yupo kwa sababu viumbe vina mifumo tata ambayo inaashiria kwamba kuna Intelligent designer aliyeviumba, basi uwe tayari pia kusema kwamba kuna Super Intelligent designer aliyem-design huyo Intelligent designer.
Kumbe unaamini mungu yupo.Wewe hata kuzitaja unaogopa.Kwa sababu unajua ukizitaja tu, Mungu wako anaanza kuanguka kutokana na uzito wa uongo unaombeba.
Wapi unaona hilo? Lipo kweli au ni matongotongo yako tu?Kumbe unaamini mungu yupo.
Umesema kuwa mungu ataanguka.Wapi unaona hilo? Lipo kweli au ni matongotongo yako tu?
Mungu wako.Umesema kuwa mungu ataanguka.
Nipe tofauti ya mungu na mungu wako .Mungu wako.
Unaelewa umuhimu wa hilo neno wako katika "Mungu wako" na tofauti kati ya "Mungu" na "Mungu wako" ?
Kuna Wahindi wanaamini ng'ombe ni Mungu wao. Je, kwa sababu ng'ombe ni Mungu wao, ukisema hilo inamaana ng'ombe ni Mungu wako na wewe?
Ukiamini kwamba mavi ni Mungu, nitasema "Mungu wako ni mavi".Nipe tofauti ya mungu na mungu wako .
Mkuu just lets go slow ...nijibu hoja hapo juuHuyo Mungu wako unayedai creator wa vyote hivi anahitaji creator na yeye?
Hoja hata ukiiona utaijua?Mkuu just lets go slow ...nijibu hoja hapo juu
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Kadri ninavyosoma hoja zako nazidi kupoteza imani na huyu personal God (Mungu mwenye wivu) [emoji23] [emoji23]Ukiamini kwamba mavi ni Mungu, nitasema "Mungu wako ni mavi".
Hilo halimaanishi kwamba mimi nakubali kwamba mavi ni Mungu. Ila nasema kwamba wewe unakubali kwamba mavi ni Mungu.
Nikisema "Mavi ni Mungu" nakuwa nakubali mimi mwenyewe kwamba mavi ni Mungu.
Hivyo, nikisema "Mungu wako" sijamkubali huyo Mungu kama wangu.
Kama vile naweza kukukwambia "Mama yako kakusalimu" bila ya kumkubali kwamba huyo mama yako ni mama yangu.
Unachofanya hapa, kwa sababu ama una akili ndogo ambayo haiwezi kuchambua vitu, au kwa sababu ya hila za kijinga tu, unataka kufanya kwamba mtu aliyesema "Mama yako kakusalimu" awe kakubali kwamba mama yako ni mama yake pia, kwa sababu tu kataja neno mama.
Jifunze Kiswahili kwanza kabla ya kurukia hoja za kujadili kuwepo kwa Mungu.
Kwanza wivu ni tabia isiyo ya kiungu. Ni tabia negative.Kadri ninavyosoma hoja zako nazidi kupoteza imani na huyu personal God (Mungu mwenye wivu) [emoji23] [emoji23]
Ila huyo jamaa hamtofika conclusion ni m'bishiii
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Mkuu unamzungumzia mungu yupi???Kwanza wivu ni tabia isiyo ya kiungu. Ni tabia negative.
Mungu ambaye yeye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ataanzia wapi kupata wivu?
Wivu ni alama ya kupungukiwa. Mke anaona wivu kwa sababu mume kapunguza mapenzi kwake mke, anapeleka mapenzi nyumba ndogo.
Mke akiona wivu sawa, kwa sababu hana control juu ya situation ya mapenzi ya nje ya nyumba ya mumewe.
Huyu Mungu asiyeweza kupungukiwa na anayeongoza kila kitu wivu anaupataje?
Anaogopa nyumba ndogo?
Mkuu unamzungumzia mungu yupi???
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Hahaa kazi kweli kweli, huyu mungu ni jipu kubwaKwanza wivu ni tabia isiyo ya kiungu. Ni tabia negative.
Mungu ambaye yeye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ataanzia wapi kupata wivu?
Wivu ni alama ya kupungukiwa. Mke anaona wivu kwa sababu mume kapunguza mapenzi kwake mke, anapeleka mapenzi nyumba ndogo.
Mke akiona wivu sawa, kwa sababu hana control juu ya situation ya mapenzi ya nje ya nyumba ya mumewe.
Huyu Mungu asiyeweza kupungukiwa na anayeongoza kila kitu wivu anaupataje?
Anaogopa nyumba ndogo?
HapanaUmesoma Physics?
Jaribu kama ulivyo jaribu kuandika hapo juu[emoji115] [emoji115] [emoji115]daaaaah...am sory ndugu..kiswahilibkinakuwa kigumu kwangu kuweka maneno y kiswahili sahihi..maybe another time i will try( nitajaribu) samahani kama tumekuacha
Mungu ni complex???funny how ,so how do you know that mungu ni complex,kumbe unajua yupo,tatizo lako who was designer of him???Hoja hata ukiiona utaijua?
Hoja yako kila kilicho complex kina designer.
Mungu ni complex.
Mungu ana designer?
Kutokana na worldview yako, Mungu kaumba kila kitu kilicho complex, na kila kilicho complex hakiwezi kuumbwa na kilicho less complex.Mungu ni complex???funny how ,so how do you know that mungu ni complex,kumbe unajua yupo,tatizo lako who was designer of him???
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
...aliemdesign mungu ana designer wake na huyo designer aliemdisign aliemdesign mungu nae ana designer wake.......kazi ipo mpaka apatikane designer aliemdesign designer aliemdesign designer....Kutokana na worldview yako, Mungu kaumba kila kitu kilicho complex, na kila kilicho complex hakiwezi kuumbwa na kilicho less complex.
Immanent critique to show you that your logic is flawed.
Ukisema kila kilicho complex kina designer, kimsingi unasema Mungu ana designer.
Ukisema Mungu ana designer, una contradict habari ya kwamba Mungu ndiye chanzo cha yote, una contradict kwamba Mungu ni Mungu.
Ndiyo maana nikakuuliza, Mungu wako ana designer?
Hujajibu swali hili.
Ukisema ana designer, utaonyesha si Mungu.
Ukisema hana designer, uatuonyesha kwamba si kweli kwamba kila kilicho complex kinahitaji designer.
Ukichimama nchale, ukikimbia nchale.
Ukimumunya nchale, ukitema nchale.
it is infinity...aliemdesign mungu ana designer wake na huyo designer aliemdisign aliemdesign mungu nae ana designer wake.......kazi ipo mpaka apatikane designer aliemdesign designer aliemdesign designer....
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app