Aliye m design Mungu ni mtu....aliemdesign mungu ana designer wake na huyo designer aliemdisign aliemdesign mungu nae ana designer wake.......kazi ipo mpaka apatikane designer aliemdesign designer aliemdesign designer....
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Yap! Ukikubali kuwepo kwa kitu kimoja itabidi ukubali na uwepo wa infinite entities zitakazotumika kurlezea chanzo cha hicho kitu ulichosema kipo.Huwa nakukubali unavyojenga hoja kutetea point yako mkuu...ila naomba nikuulize swali hapo ulipo sema kuna "super intelligent designer aliem-design huyo intelligent designer" sasa hapo huoni kama kuna zaidi ya huyo Super intelligent designer aliyemuumba huyo intelligent designer????
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha story moja aliitoa Stephen Hawkins katika "A Brief History of Time:From The Big Bang to Black Holes"it is infinity
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Ukiamini kwamba mavi ni Mungu, nitasema "Mungu wako ni mavi".
Hilo halimaanishi kwamba mimi nakubali kwamba mavi ni Mungu. Ila nasema kwamba wewe unakubali kwamba mavi ni Mungu.
Nikisema "Mavi ni Mungu" nakuwa nakubali mimi mwenyewe kwamba mavi ni Mungu.
Hivyo, nikisema "Mungu wako" sijamkubali huyo Mungu kama wangu.
Kama vile naweza kukukwambia "Mama yako kakusalimu" bila ya kumkubali kwamba huyo mama yako ni mama yangu.
Unachofanya hapa, kwa sababu ama una akili ndogo ambayo haiwezi kuchambua vitu, au kwa sababu ya hila za kijinga tu, unataka kufanya kwamba mtu aliyesema "Mama yako kakusalimu" awe kakubali kwamba mama yako ni mama yake pia, kwa sababu tu kataja neno mama.
Jifunze Kiswahili kwanza kabla ya kurukia hoja za kujadili kuwepo kwa Mungu.
Mavi si Mungu, kwa sababu Mungu hayupo."Hilo halimaanishi kwamba mimi nakubali kwamba mavi ni Mungu. Ila nasema kwamba wewe unakubali kwamba mavi ni Mungu."
Je,wewe unakubali kwamba mavi ni mungu na kama haukubali eleza kwanini?
Lets go back to onenessMavi si Mungu, kwa sababu Mungu hayupo.
Mavi si Mungu, kwa sababu Mungu wenu kinadharia ni perfection na mavi yananuka na yanabeba magonjwa na si perfection na hivyo si Mungu.
Mavi ni matokeo ya mfumo uliokosa ufanisi na Mungu wenu kinadharia hawezi kuwa matokeo ya mfumo uliokosa ufanisi.
Mavi ni waste product, Mungu mnayemsema hawezi kuwa product.
Mungu hayupo, kwa sababu the only perfect state is nothingness, anything that deviates from nothingness is imperfection.
The fact that we are here is due to imperfection, therefore there is no perfection, therefore there is no God.
There is no such thing. You are attempting to break Heisenberg's Uncertainty Principle.Lets go back to oneness
Non duality state
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
I don't give damn about infinity on designer,issue ni kujua either designer exists,regardless zillions of designers existsit is infinity
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Issue is to know if designer exists ,despite there alotsa of billions of designer exists ....halafu nchale unamaanisha nini:nimeshindwa kukujibu hapoKutokana na worldview yako, Mungu kaumba kila kitu kilicho complex, na kila kilicho complex hakiwezi kuumbwa na kilicho less complex.
Immanent critique to show you that your logic is flawed.
Ukisema kila kilicho complex kina designer, kimsingi unasema Mungu ana designer.
Ukisema Mungu ana designer, una contradict habari ya kwamba Mungu ndiye chanzo cha yote, una contradict kwamba Mungu ni Mungu.
Ndiyo maana nikakuuliza, Mungu wako ana designer?
Hujajibu swali hili.
Ukisema ana designer, utaonyesha si Mungu.
Ukisema hana designer, uatuonyesha kwamba si kweli kwamba kila kilicho complex kinahitaji designer.
Ukichimama nchale, ukikimbia nchale.
Ukimumunya nchale, ukitema nchale.
Unaelewa kwamba ukishasema kila kilicho complex kinahitaji kuwa na designer automatically unakuwa umesema kwamba Mungu naye anahitaji kuwa na designer?Issue is to know if designer exists ,despite there alotsa of billions of designer exists ....halafu nchale unamaanisha nini:nimeshindwa kukujibu hapo
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Unazidi kupoteza imani kwa sababu tokea mwanzo hukuwa na imani sahihi kuhusu mungu,hivyo ukajikuta umeamua kuchagua kutoamini mungu na ndiyo maana hoja za Al-watan zinakufariji kwa kile ulichochagua.Kadri ninavyosoma hoja zako nazidi kupoteza imani na huyu personal God (Mungu mwenye wivu)
Ila huyo jamaa hamtofika conclusion ni m'bishiii
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Mkuuu..Unaelewa kwamba ukishasema kila kilicho complex kinahitaji kuwa na designer automatically unakuwa umesema kwamba Mungu naye anahitaji kuwa na designer?
Bora uandike Kiswahili tu. Maana hayo madudu uliyoandika hayaeleweki na wala hayaelewekiki.Mkuuu..
I told u clearly,kuwepo kwa designer and also its sequence successors is tribute arising from torrent that flow to prove existence of designer....
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Uthibitisho?Aliye m design Mungu ni mtu.
Man made god, god made man, man who made god who made man made man mad...
Nimekuuliza unakubali kuwa mavi ni mungu au haukubali? matokeo yake imeingiza habari za mungu wangu na ukatumia kupinga kuwa mavi sio mungu.Mavi si Mungu, kwa sababu Mungu hayupo.
Mavi si Mungu, kwa sababu Mungu wenu kinadharia ni perfection na mavi yananuka na yanabeba magonjwa na si perfection na hivyo si Mungu.
Mavi ni matokeo ya mfumo uliokosa ufanisi na Mungu wenu kinadharia hawezi kuwa matokeo ya mfumo uliokosa ufanisi.
Mavi ni waste product, Mungu mnayemsema hawezi kuwa product.
Mungu hayupo, kwa sababu the only perfect state is nothingness, anything that deviates from nothingness is imperfection.
The fact that we are here is due to imperfection, therefore there is no perfection, therefore there is no God.
Uthibitisho ni.Uthibitisho?
Kwani sijakujibu swali lako?Nimekuuliza unakubali kuwa mavi ni mungu au haukubali? matokeo yake imeingiza habari za mungu wangu na ukatumia kupinga kuwa mavi sio mungu.
Usihusishe suala la mungu wangu wala mungu wa nani,jibu swali kama ulivyoulizwa unakubali kuwa mavi ni mungu au haukubali? jibu swali usihusishe mungu wangu kupinga kuwa mavi si mungu.
Imani sahihi ni kumuamini Mungu yupi? Wa biblia/quran au wa dini ipi manake wapo wengi....kwsababu huwez kutenganisha kati ya dini na mungu, bila dini kutaja uwepo wa mungu sidhan kama leo hii tungemzungumziaUnazidi kupoteza imani kwa sababu tokea mwanzo hukuwa na imani sahihi kuhusu mungu,hivyo ukajikuta umeamua kuchagua kutoamini mungu na ndiyo maana hoja za Al-watan zinakufariji kwa kile ulichochagua.
Kuna watu pia hawana imani na mungu unayesema ana wivu ila wanaamini aina nyengine za miungu,hivyo wewe kutoamini mungu mwenye wivu sio jambo la ajabu maana wenye kuabudu ng'ombe pia hawamuamini kama wewe.
Unachotakiwa ni kujiuliza tatizo lako ni mungu mwenye wivu au ni wazo la uwepo wa mungu kiujumla wake?