Coronavirus – Tanzania: 289 Beat COVID-19 Threat as Measures Pay Off

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,088
2,000
EL AVIV, Israel, April 6, 2020/APO Group/ --

A total of 289 people had completed a 14-day mandatory quarantine and they were released by the government to join their families and other daily activities after they tested negative of the pandemic virus.

Official statistics issued by Public Health Emergency Operation Centre of the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children over the weekend, also showed that a total of 146 people were under mandatory 14-day quarantine.
The Ministry also revealed that, currently, 389 people are being closely followed up.
The mandatory quarantine for travellers coming into the country from the most affected areas, wants them to undergo self-isolation for 14 days on arrival at their own cost(s). The directive also applies to all Tanzanians arriving from virus-hit countries.
The Government insists that on arrival, all travellers must fill in a health surveillance form and will be subject to intensive health screening.
Also, members of the public have been advised to avoid non-essential travel to COVID-19 affected countries, while the government has banned issuance of travel permits to all civil servants to countries that have reported to have Coronavirus cases.
According to Government sources, 16 other patients are responding well to the treatment and could make full recovery soon
So far, 20 cases of Coronavirus, one death and three recoveries have been reported in Tanzania. The cases have been reported in four regions including Dar es Salaam (12), Zanzibar (5), Arusha (2) and Kagera region (1). One patient each in Dar es Salaam, Kagera and Arusha regions have fully recovered.
According to Government sources, 16 other patients are responding well to the treatment and could make full recovery soon.
To check Coronavirus spread in Tanzania, President John Magufuli on March 16, suspended Uhuru Torch race for 2020, as a precautionary measure and ordered that its funds instead be directed to the preparation and improvements of health facilities responsible for handling possible Coronavirus cases.
The following day on March 17 and 18, the Prime Minister Kassim Majaliwa and the Minister responsible for Health Ms. Ummy Mwalimu in different platforms, issued directives on further strengthening prevention by closing all Primary, Secondary, Colleges and Universities for a period of 30 days.
On the same breath, the Government banned all public gatherings including seminars, forums, and festivals as well as any sports activities including leagues to convene within the same timeframe.
Coronavirus disease spreads primarily through contact with an infected person when they cough or sneeze. It also spreads when a person touches a surface or an object that has the virus on it, and then touches their eyes, nose, or mouth.
The disease causes respiratory illness (like the flu) with symptoms such as a cough, fever, and in more severe cases, difficulty breathing.
Preventive measures include washing hands frequently, avoiding touching face, and avoiding close contact (1 meter or 3 feet) with people who are unwell.

Distributed by APO Group on behalf of Embassy of the United Republic of Tanzania Tel Aviv, Israel

Coronavirus – Tanzania: 289 Beat COVID-19 Threat as Measures Pay Off

Wenye kusema wacha waseme.
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,885
2,000
Serikali wafungue shule baada ya pasaka bwana me binafsi serious watoto wamenichosha kwa utundu ndani.

Madogo mara kavunja kioo, mara kaanguka nundu duh yaani kila ukiludi ni kesi ndio maana naludi kuanzia 5 usiku ndani stress zimekuwa ni zaidi ya corona.

Corona inakuzwa sana vile inaua wazungu lakini ukweli ni mafua ya kawaida sana ukiwa hauna magonjwa mengine mwilini.
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
15,568
2,000
Kuna uzi uliomba ifanyike total lockdown Mara hii umebadili mtazamo sababu ya utundu wa watoto tu ?
Serikali wafungue shule baada ya pasaka bwana me binafsi serious watoto wamenichosha kwa utundu ndani.

Madogo mara kavunja kioo, mara kaanguka nundu duh yaani kila ukiludi ni kesi ndio maana naludi kuanzia 5 usiku ndani stress zimekuwa ni zaidi ya corona.

Corona inakuzwa sana vile inaua wazungu lakini ukweli ni mafua ya kawaida sana ukiwa hauna magonjwa mengine mwilini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,643
2,000
Afadhali hao wako,wangu nikiwanawisha wanaenda kukaa mezani wanasubiri msosi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,660

Huna malezi mazuri na hufai kuwa mzazi, wadekeze kuna siku utakuta wamefanya uharibifu mkubwa, mtoto aliyena umri wa kwenda shule anavunya vioo maana yake wewe mzazi umemdekeza vibaya, hao watoto wa aina yako ndo akija mgeni kwako anamchafua, au analilia aangalie TV channel anazotaka au anaruka hivyo sebleni hata ukimsemesha hakuelewi anaweza hata kutukana wageni.
Jirekebishe mtoto siyo mtu mzima kwamba atajikanya
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
5,461
2,000
Ule ukiherehere Wa kusema walimu wa sikuhizi hawangalii watoto umekwisha

Corona imeonesha jinsi walimu wanavyotusaidia sana kwenye malezi

USSR
Afadhali hao wako,wangu nikiwanawisha wanaenda kukaa mezani wanasubiri msosi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SYOSYA

Member
May 2, 2019
35
125
Huna malezi mazuri na hufai kuwa mzazi, wadekeze kuna siku utakuta wamefanya uharibifu mkubwa, mtoto aliyena umri wa kwenda shule anavunya vioo maana yake wewe mzazi umemdekeza vibaya, hao watoto wa aina yako ndo akija mgeni kwako anamchafua, au analilia aangalie TV channel anazotaka au anaruka hivyo sebleni hata ukimsemesha hakuelewi anaweza hata kutukana wageni.
Jirekebishe mtoto siyo mtu mzima kwamba atajikanya
Hafai kwa malezi huyo jamaa ,wenzio watoto zetu hawafanyi upumbumbavu huo..Baba hovyo saana wewe
 
Trimmer

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,654
2,000
Tff wafungulie ligi mechi ziendelee Simba wachukue kombe lao kihalali,,
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,660
2,000
Hafai kwa malezi huyo jamaa ,wenzio watoto zetu hawafanyi upumbumbavu huo..Baba hovyo saana wewe
Huyo jamaa analialia sana inaonekana hata alivyolelewa ni kimayaimayai tu, kwakweli mwanaume analia kusumbuliwa na watoto wadogo wakibalehe au kuvunja ungo si atwkimbia nyumba
 
  • Thanks
Reactions: UCD

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
23,658
2,000
Huna malezi mazuri na hufai kuwa mzazi, wadekeze kuna siku utakuta wamefanya uharibifu mkubwa, mtoto aliyena umri wa kwenda shule anavunya vioo maana yake wewe mzazi umemdekeza vibaya, hao watoto wa aina yako ndo akija mgeni kwako anamchafua, au analilia aangalie TV channel anazotaka au anaruka hivyo sebleni hata ukimsemesha hakuelewi anaweza hata kutukana wageni.
Jirekebishe mtoto siyo mtu mzima kwamba atajikanya
Ha ha ha
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
29,334
2,000
MUNGU ATULINDE WATZ.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
seph0408

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
1,162
2,000
Serikali wafungue shule baada ya pasaka bwana me binafsi serious watoto wamenichosha kwa utundu ndani.

Madogo mara kavunja kioo, mara kaanguka nundu duh yaani kila ukiludi ni kesi ndio maana naludi kuanzia 5 usiku ndani stress zimekuwa ni zaidi ya corona.

Corona inakuzwa sana vile inaua wazungu lakini ukweli ni mafua ya kawaida sana ukiwa hauna magonjwa mengine mwilini.
Ndio ukae home uwajue wanao, usisubiri dunia iwalee. Get the pain and get the energy to go on. Ndio maana ni malezi. Thus, running away and let the other half struggle na ukifika unataka na mzigo kabisa,sio poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,527
2,000
Serikali wafungue shule baada ya pasaka bwana me binafsi serious watoto wamenichosha kwa utundu ndani.

Madogo mara kavunja kioo, mara kaanguka nundu duh yaani kila ukiludi ni kesi ndio maana naludi kuanzia 5 usiku ndani stress zimekuwa ni zaidi ya corona.

Corona inakuzwa sana vile inaua wazungu lakini ukweli ni mafua ya kawaida sana ukiwa hauna magonjwa mengine mwilini.

= narudi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom