Coronavirus: South Africa Wafunga Vyuo Vikuu

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,949
South Africa, baadhi ya vyuo vikuu, vimeamua kufunga kwa muda usiojulikana kutokana na tishio la Coronavirus.

Jana Cape Town University, chuo bora cha kwanza Africa, wametoa tangazo wanavyuo wote wawe wameondoka chuoni ndani ya masaa 72 kuelekea makwao kutokana na hofu ya Coronavirus.

Mpaka sasa vyuo vitatu vimefikia uamuzi huo wa kufunga. Vyuo vingine vinaendelea kama kawaida japo kuna hofu kuwa huenda na vingine vikafuatia.

Athari ya Coronavirus kiuchumi na kijamii, ni ngumu kupimika.
 
Ngoja tusubiri akitoka kwenye ghafla ya ubungo, pengine atasema neno. Maana niliona pia Mfugale ameondoka hata bila ya kumuaga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... sisi tuko bize kuvunja mikono ya akina Mdee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…