Mkuu MArekani mwenyewe hajiwezi kwa janga hili.Huyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.
Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.
Huu ugonjwa ni suala la dharura ni vyema akubali kwa wakati huu ili aokoe maisha ya raia.Mkuu MArekani mwenyewe hajiwezi kwa janga hili.
Kama anataka kuwasaidia Irani yeye apunguze vikwazo walivyo iwekea Iran kiasi wanashindwa kuagiza baadhi ya madwa na vifaa au malighafi za kutengeneza madawa na vifaa tiba.
Msaada wa kinafiki sana huu, siku tatu au tano zilizopita kawaongezea vikwazo Iran mbele ya ombi la Iran kuondolewa baadhi ya vikwazo vinavyo husu huduma muhimu za kibinadamu waweze kupambana na COVID-19.
Haaaaa kwa hiyo ukiwa mshia huruusiwi kuingia marekani?Kuwajari = Kuwajali.
Kwanza unapaswa kufahamu kwanini America anaiwekea vikwazo Iran pili unapaswa kufahamu historia ya haya yote na tatu kwanini president Trump alizungumza mwezi March mapema yuko tayari kuisaidia Iran.
Ukiyajua yote hayo ukaweka ushia pembeni utakuwa mtu huru sana na pengine ukafika America siku moja!
Mwisho, Kunidharau kwako hakunipunguzii chochote wala kuongeza chochote ila ni kosa kwa mujibu wa sheria za JF nakusihi uzipitie upya
Kwa hiyo lengo la US ni kuwazorotesha tu wairan kiuchumi like seriously?Hakuna ama hata wewe huna sababu yamsingi nayakueleweka yakwanini jamaa wanaekewa vikwazo
wanachokitaka wao nikuwazorotesha jamaa kiuchumi ila wanapambana sana lakini wanaona jamaa bado wamekaza nawashachemka tena maana hawatakaa waweze tena milele
Sent using My COVID-19
Atakuwa amesha changanyikiwa. Anakataaje msaada ambao wala hajaahidiwa kupewa?
Kama ni kweli ameitoa hiyo kauli basi atakuwa anarumbana na wananchi wake, huenda kuna shinikizo kutoka ndani kwamba akaombe msaada Marekani na yeye anawajibu kuwa hatawaomba msaada. Lwa hivyo hapo sioni kama anawajibu Marekani bali ni malumbano yao ya ndani.
NDIO lkn sio kutoka US
Sasa wale wanao rambwa sana ndio wasaidiwe iran watasaidiwa ila sio na wamarekani wamarekani wao wenyewe wanataka msaada corona isha anza kuwaramba huko nao kama kumbu kumbi wana anguka tuuu
Sent using My COVID-19
Why US asiwasaidie italy au china au portugal? Na the rest ameamua kwenda direct kwa iran?Upo sahihi, Mmarekani mjanja mjanja sana. Na Iran wana sababu nyingi za kutomwamini US lakini ni vizuri kuchukua msaada for the sake of your people.
Na, hali ikiwa mbaya zaidi sidhani kama ataendelea kubaki na huo msimamo wake wa kugomea msaada toka kwa US. Leo tu visa vya vifo vilivyotokea ni 127 na kufanya idadi ifikie 1,812.
Wameishiwa hao, ndiyo maana wanataka vikwazo viondolewe acha ubishi.
Anasubiri mchina ndo aje kumsaidia labda ndio atmuamini kwa sababu ni muhanga mwenzake na wote adui yao mmarekaniUpo sahihi, Mmarekani mjanja mjanja sana. Na Iran wana sababu nyingi za kutomwamini US lakini ni vizuri kuchukua msaada for the sake of your people.
Katafute mitandaoni acha uvivuHaya bwana...nimeomba evidence umeshindwa kuniletea...umeng'ang'ana tu wameishiwa...ndio tatizo la wabongo 😀😀
Katafute mitandaoni acha uvivu
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwa hiyo unawapangia wa kuwasaidia!!Sasa wale wanao rambwa sana ndio wasaidiwe iran watasaidiwa ila sio na wamarekani wamarekani wao wenyewe wanataka msaada corona isha anza kuwaramba huko nao kama kumbu kumbi wana anguka tuuu
Sent using My COVID-19
Pamoja navikwazo vinavyo waandama katika sekta yao ya afya ambavyo unadai vinadumaza sekta yao ya Afya sidhanii kama kuna nchi hatamoja toka bara unaloishi ambayo inaizidi IRAN Kwakua Nasekta Makini Ya AfyaHali mbaya anayo sema anaficha tu.
Hivi vikwazo vimedumaza sekta yao ya afya ndio maana wanataka vikwazo viondolewe.
Akubali nn kwa nn asimuondolee vikwazo yeye kwadharuraHuu ugonjwa ni suala la dharura ni vyema akubali kwa wakati huu ili aokoe maisha ya raia.
IRAN Mshindani Wamarekani kwakila Nyanja Kisiasa Kijeshi Nampaka Kiuchumi Naukitaka Kufahamu Hili Hamna Hata Nyanja Moja Katika Hizi Nlizozitaja Ambazo US Hajamuekea Vikwazo IRANKwa hiyo lengo la US ni kuwazorotesha tu wairan kiuchumi like seriously?
Mbona Iran sio mshindani wa America kiuchumi au umepitiwa badala ya kuandika Italy umeandika Iran?
ITALY Ambao per day wanaanguka 700+ hamuwaoni [emoji23][emoji23][emoji3][emoji16] ?!Na, hali ikiwa mbaya zaidi sidhani kama ataendelea kubaki na huo msimamo wake wa kugomea msaada toka kwa US. Leo tu visa vya vifo vilivyotokea ni 127 na kufanya idadi ifikie 1,812.