Umesema mpaka kufikia tarehe 09.01.2020 mbona hapo naona mpaka mwezi wa saba
Aliyeelewa ajitokeze kunielewesha asee..!
Duh! Wejamaa kweli ni vacuous popinjay
Niambie unafaidika na nini tukiwa na wagonjwa wengi na vifo vingi?
Kwani tukiamua kujitoa ufahamu kuwa hakuna ugonjwa wa corona Tanzania huku watu wakiwa wanakufa Kila siku ndo unapata faida gani?Siku huyu aliyeondoa ubongo wenu kwenye vichwa vyenu akifyekwa na corona labda akili zitawarudiaDuh! Wejamaa kweli ni vacuous popinjay
Niambie unafaidika na nini tukiwa na wagonjwa wengi na vifo vingi?
Kwani tukiamua kujitoa ufahamu kuwa hakuna ugonjwa wa corona Tanzania huku watu wakiwa wanakufa Kila siku ndo unapata faida gani?Siku huyu aliyeondoa ubongo wenu kwenye vichwa vyenu akifyekwa na corona labda akili zitawarudia
Wanaotutoka ni jamaa zetu, ni ndugu zetu, ni colleagues wetu nk.
Kwa hakika hawatapotea bure.
Kama wewe haikuhusu usidhani ni hivyo kwa wote.
Kwani wake waliolala makaburi ya Kinondoni,ununio na kwingineko wanatoka wapi?Nani alisema hakuna corona?
Corona ipo na tunaishi nayo. Maisha yanaenda. Hao wanaopukutika wako wapi?
Acha kuleta chuki binafsi za kisiasa kwenye mambo mazito
Ni lipumbavu tu! Majitu mengine sijui yakoje? Hili jamaa si ndilo lilikomalia kwamba kwenye shule zilizofunguliwa kuna vifo vingi vya Corona?Duh! Wejamaa kweli ni vacuous popinjay
Niambie unafaidika na nini tukiwa na wagonjwa wengi na vifo vingi?
Ni lipumbavu tu! Majitu mengine sijui yakoje? Hili jamaa si ndilo lilikomalia kwamba kwenye shule zilizofunguliwa kuna vifo vingi vya Corona?
Watu ambao wanaishi nje ya Tz wanatupa tabu sana na hili suala la corona,yani mtu yupo huko nje anabishana na sie tuliyopo nchini.
Hivi kweli watu tuzike ndugu zetu kwa vifo vya corona halafu bado sie tuishi kama hakuna corona hali ya kuwa ndugu zetu wamekufa na corona na tunajua! Hili mbona haliingii akilini. Ni mtu asiyekuwe Tz tu ndio ataamini hili et tunaficha ,sasa tunamficha nani? Hao viongozi wa serikali wenyewe tumeona hawavai barakoa na wanasalimiana kwa kushikana mikono kabisa,hivi kweli utasema hao watu wanaficha corona kwa kutupumbaza sie wananchi?
Tatizo sio Magufuli,kama Corona ingekuwa inapukutisha watu basi Magufuli asingekuwa na jeuri ya kusema corona imepunguwa na kuruhusu shughuli kuendelea kama kawaida maana uhalisia ungepingana nae watu wangejiona wanavyopukutika na wengi kuumwa.Kwani tukiamua kujitoa ufahamu kuwa hakuna ugonjwa wa corona Tanzania huku watu wakiwa wanakufa Kila siku ndo unapata faida gani?Siku huyu aliyeondoa ubongo wenu kwenye vichwa vyenu akifyekwa na corona labda akili zitawarudia
Mkuu kwa sasa hao wanakufa hatuwaoni,Ila siku akifa yeye ndo tutaanza kuwaona,acha twende kwenye kampeni Kama tutakuwa tumefika huko lakiniTatizo sio Magufuli,kama Corona ingekuwa inapukutisha watu basi Magufuli asingekuwa na jeuri ya kusema corona imepunguwa na kuruhusu shughuli kuendelea kama kawaida maana uhalisia ungepingana nae watu wangejiona wanavyopukutika na wengi kuumwa.
Mkuu sijui unalizungumzia kundi gani maana tumeona makundi yote hayana tahadhari na hiyo corona kuanzia wananchi hadi hao viongozi wakubwa wa nchi,sasa sijui nani anamficha mwenzie kuhusu corona? Ajabu hata Zitto na Membe ambao walikuwa wakipigia kelele hili suala nao tunaona wanafanya yaleyale.Endeleeni kuuchonga ila fahamuni kuwa orodha itaendelea kuhuishwa hata kama wengine sisi tutakuwa wahanga wa ugonjwa huu kabla ya kuwajibishana. Inafahamika ni kwa maslahi gani wengine kuwa vifo vya watu wasiowahusu nyie haiwahusu:
Kutoka kwa wahanga watarajiwa wa Covid-19
Habari ndiyo hiyo.
Faida ni kufuata kwa juhudi maelekezo yoote ya vita!Duh! Wejamaa kweli ni vacuous popinjay
Niambie unafaidika na nini tukiwa na wagonjwa wengi na vifo vingi?