kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 409
Mkuu unaelewa maana ya dalili?bado 666 haijawa dhahiri, dunia haiwezi kufika mwisho kizembe hivi, na yule mnyama hajaja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika tutubu.Kwa kweli, Mungu anatuma ujumbe tutubu,la sivyo WOTE tunaangamia..hakuna cha Mmarekani wala Mchina na technology zao….
Mkuu acha ubishi soma vizuri maandiko utapata fununuMbona mnatuchanganya na nyie....mbona corona ina ambukiza wengi lakini wanao kufa wachache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu kuna watu wamekufa under 5 days walau weweYaani nakufa hata sija play role yangu iliyonileta hapa duniani
Mwisho wa dunia!!Wakuu ukisoma dalili za mwisho wa Dunia katika mathayo 24:7 tafsiri halisi angalia biblia ya king James vision, utakuta neno PESTILENCES >>ni magongwa ya milipuko ambayo inaambukiza wengi kwa mda mfupi na kuua wengi.. Matthew 24:7 For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places.
Tahadhari ndugu yangu tumrudie Muumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuoneMwisho wa dunia!!
Kuna magonjwa kama Ndui, ukimwi, kupindupindu umeuwa watu wengi zaidi ya corona mbona dunia bado ipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
ugonjwa wa corona unakuzwa na media mkuu acha KUPANIC.... Hiv umejiuliza is it practically possible nchi yenye watu 1.2billion, na inayoongoza kwa uchafu duniani na pia imepakana na china {india} inakua na case 60 then then nchi safi yenye watu mill 60 (itally) inakua na maelf ya wagonjwa??? Shida ya watu mnapenda sana kumissuse maandiko
Kuna chance nzuri sana ya kujitolea kuchomwa sindano yenye virusi vya korona...mko tayari
Mkuu wakikujibu nitagKuna chance nzuri sana ya kujitolea kuchomwa sindano yenye virusi vya korona...mko tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajiita planett halafu hujui planet ilivyo usichanganye mambougonjwa wa corona unakuzwa na media mkuu acha KUPANIC.... Hiv umejiuliza is it practically possible nchi yenye watu 1.2billion, na inayoongoza kwa uchafu duniani na pia imepakana na china {india} inakua na case 60 then then nchi safi yenye watu mill 60 (itally) inakua na maelf ya wagonjwa??? Shida ya watu mnapenda sana kumissuse maandiko