Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Dudu limerudi tena, mwendo ni uleyle maombi jumlisha tiba mbadala na mazoezi.
Ni Mungu peke yake atakayetuvusha
Ni Mungu peke yake atakayetuvusha
Pole, Mungu akufanyie wepesi, maradhi yakuondokeNinaumwa mafua makali sana na Homa. Kwanzia jana.
Kwan iliondoka lini?Dudu limerudi tena, mwendo ni uleyle maombi jumlisha tiba mbadala na mazoezi.
Ni Mungu peke yake atakayetuvusha
View attachment 2842463