Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Umeona karantine inavyotesa ukiwa alone? Huku ex wako anachekelea tuYaani huu ugonjwa naogooopa
Ukiisha kusema kweli nakituliza kabisaa ,naenda kumuomba x wangu msamaha tuishi pamoja .hii dunia ni ubatili tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ukimwona mwambie mnipitie na Mimi mkuuNitamwomba Sir God anirudishe duniani walau siku moja nije kuvinjari jamiiforums
Makeup ikichafua barakoa unafanya nini?Nitapumzika kuvaa gloves na masks manake zimenichosha asee!
Makeup ikichafua barakoa unafanya nini?
Aahahahahahahaa
Polee, baridi imezidi kuwa kali???
Ntachofanya ni kushika mimba ya mapacha 4, mimba ikigoma kushika naenda adopt vitoto 4 vichangaa wawe warithi wangu.
Karantini hii imenipa upako wa kulea... Nimejikuta nawaonea wivu waliokuwa wanaenda maternity leave...
Wengine make up zinatufanya kidogo kuwe saa tisa mchana. Tukiacha kupaka ni News at 22:00.Huwa sipaki makeup kabisa nikiwa kazini dia
Wengine make up zinatufanya kidogo kuwe saa tisa mchana. Tukiacha kupaka ni News at 22:00.