Iko hivi:
1. Ukisha chanjwa hata ukiambukizwa tafiti zinaonyesha impact inakuwa si kubwa tena. Nafasi ya kuwa hospitalized baada ya kuchanjwa inakuwa very minimal.
2. Ukisha chanjwa wewe na familia yako ukiwa na ubinafsi wa kupitiliza Corona kwako inakuwa ni non issue. Yaani inakuwa mzigo wa mwenzio kwako ni kanda la Sufi.
Umeona ngoma ilipo the top brass wanaotuletea kodi za uzalendo hali wao haziwahusu, are already vaccinated.
Upo hapo mkuu?