corola one eleven inatafutwa

corola one eleven inatafutwa

rejea kichwa ch ahabari apo juu

inatafutwa gari aina ya corola one eleven isiwe nyeupe.

iwe kwenye hali nzuri kabisa.....namba B itakua poa zaidi.



bajet ni maximum 4.5m

Ninayo registration No. AN....ya mwaka 1996, imetembea Km 120K. Ni nyeupe, MT ila kwa hiyo bei hata ingekuwaje siwezi kukupatia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom