Coreldraw x4 - msaada naomba

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,617
Natumia hiyo program hapo juu lakini nina siku nyingi natafuta Cd key zake nimeshindwa; hata nikijaribu ku-dowload inafika sehemu inagoma. Tatizo ni kwamba siku za nyuma nilikuwa natumia version 12; najaribu kuirudishia ver 12 inagoma kurun.
Kama kuna mwenye ufumbuzi tafadhali naomba tuwasiliane kupitia hapa janvini.
 

Ikigoma kurun inatoa ujumbe gani.

Pakua na simika in corel draw5 na kizalisha funguo (keygen) chake kutoka hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…