Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,086
- 5,142
Wakuu habari za leo.
Nimeweza kupata mahali CorelDRAW Graphics Suite 2020 v22.2.0.532 na CorelDRAW Technical Suite 2020 v22.1.0.517. Installation inakubali kabisa kwa kutumia serial keys nilizopata kwa kila moja.
Shida inakuja kwenye kufunguka sasa ili nitumie kufanya kazi. nikifungua Technical Suite inaniambia nirestart PC au ni uninstall then niinstall kwa upya. Nimefanya njia zote lakini tatizo limeendelea. Kwa Graphics suite huchukua muda usiojulikana then huacha kufunguka automatically.
Sasa wadau wa haya mambo naomba mnisaidie kutatua hili tatizo au nisaidie namna ya kupata version zitakazofanya kazi katika PC yangu. OS ni Windows 10; Platform ni 64 bit. RAM ni 4 GB, Storage za HDD zipo za kutosha.