Copying Software

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
Wataalam wangu kwema?
habarini za jumapili????
naombeni msaada kama kuna mwenye link au ufahamu wa software/application ya kusaidia ku copy files kwa haraka, ninatumia super copy ila naona kama inasumbua, mwenye alternative pls...
 
taratiiiiiiiiiibu nimejipakulia tayari, kimya kingi ujue kuna namna, yaani ukiona manyoya ujue keshaliwa.....
appreciations wadau
 
Back
Top Bottom