copy and paste ya DART

Ilitaka kufanana lakini ya hapa vibarabara vyao vyembamba mno kiasi kwamba hata hayo mabasi hayataweza pishana
 
Well, tatizo ninaloliona na hii ya kwetu, hakuna tunnels za watu kuvuka upande wa pili kwa hiyo watavuka barabara kila watakapo kupanda mabasi na kila wanaposhuka, tutegemee majanga katika hilo.

Hiii ya kwetu wangeweka hizo basi ziwe pembeni na barabara za magari ya kawaida ndio iwe kati.
 
hii ina 3 lanes kila upande kwa magari ya watu binafsi na two lanes kwa mabasi ya fasta, ukija kwetu wametoa moja kwa civilian cars na magari yanayoenda kasi
 

Mkuu, hilo litakuwa janga sio utani. Hao watu watapita wapi kwenda au kutoka kwenye bus?

Hii itakuwa Bongo pekee
 
Mkuu, hilo litakuwa janga sio utani. Hao watu watapita wapi kwenda au kutoka kwenye bus?

Hii itakuwa Bongo pekee

Janga lingine ninaloliona ni pale moja ya mabasi likiharibika, kasheshe.
 
Ilitaka kufanana lakini ya hapa vibarabara vyao vyembamba mno kiasi kwamba hata hayo mabasi hayataweza pishana

yapishane vipi wakati kuna njia ya kwenda na kurudi??!!! kwenye vituo kumetanuliwa kuna lane mbili ndio hapo moja linaweza kupita kama lingine lime-delay ila yanaenda kwa muda hamna haja ya kupitana.

nb:hata hio picha unayoiona ni kituoni tu kuna lane mbili ukitoka kituoni after few meters ni lane moja
 

Na ndani ya hizo tunnels waweke wanajeshi, vinginevyo tutakoma
 
Janga lingine ninaloliona ni pale moja ya mabasi likiharibika, kasheshe.

watakuwa na breakdown zao special gari likiharibika within few minutes linatolewa....hayo mnayofikiria leo wataalam wa huu mradi walifikiria 20yrs ago.
 
Mkuu, hilo litakuwa janga sio utani. Hao watu watapita wapi kwenda au kutoka kwenye bus?

Hii itakuwa Bongo pekee

sehemu zenye watu wengi na hatari zaidi wameweka fly-overs sehemu ambazo hazina watu wengi kuna zebra crossing na wabongo inabidi tubadilike tufuate sheria za barabarani tuheshimu zebra crossing,maendeleo bila watu kubadilika ni ndoto.
 

huyu jamaa mtoa mada kaleta picha ambayo haionyeshi hawa jamaa wanaishia wapi huku wanakoelekea. Sina uhakika kama hawa jamaa wa DART ndo weshamaliza kabisa kazi yao. Ukipitia vizuri issues za urban transport palanning and traffic engineering utagundua kwamba sisi bado tuko nyuma sana. Cha msingi ni kusubiri kidogo tuone hatua ya utekelezaji wa mradi ingawa walipaswa lau kutupa taarifa sisi wananchi kama sehemu ya wadau tungeweza kuwapa mawazo ya kuboresha zaidi
 
Ilitaka kufanana lakini ya hapa vibarabara vyao vyembamba mno kiasi kwamba hata hayo mabasi hayataweza pishana
MBONA HUWA HAMTAKI KURIZIKA WABONGO JAMANI HATA KAMA NI KIDOGO PONGEZI MUHIM BAADAE UTAIBUKA NA KUSEMA SERIKALI YA CCM HAIJA FANYA KITU KUMBUKA KUONA HIVYO KUNA MENGI YAMEZINGATIWA HASA BUDGET, FIDIA NA KADHALIKA SASA KAMA UNATAKA IWE KUBWA KAMA UWANJA WA MPIRA JENGA YAKO AU OMBA BARA BARA MOJA UIJENGE KWA NGUVU ZAKO KAMA HAUTA ISHIA KUJENGA BARA BARA ZA SISIMIZI:iamwithstupid::iamwithstupid:
 

Sisi tuko nyuma kwa kila kitu kwa kuwa upinzani ni dhaifu sana. Tulitegemea chadema ndio wasimamie serikali iliyopo madarakani, lakini mawaziri vivuli kazi yao ni majungu tu hata hatujui wanafanya kazi ipi.

Tanzania itaendelea tukiwa na upinzani wenye nguvu na siyo wa kikabila na kidini kama ilivyo chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…