M Mtu Poa 2013 Senior Member Joined Mar 26, 2013 Posts 117 Reaction score 85 May 10, 2013 #1 Habari zenu Naomba kuuliza kwa anayefahamu makampuni au sehemu ambapo wanauza au kutengeneza vifaa vya madini kwa ajili ya wachimbaji wadogo wadogo, sana sana kama nikipata machine ya ku process copper kutoka machimboni. Asante
Habari zenu Naomba kuuliza kwa anayefahamu makampuni au sehemu ambapo wanauza au kutengeneza vifaa vya madini kwa ajili ya wachimbaji wadogo wadogo, sana sana kama nikipata machine ya ku process copper kutoka machimboni. Asante