Copper Cathodes Job Experience

Copper Cathodes Job Experience

Jonathan AP

Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
5
Reaction score
0
Salaam Wadau,
Natumaini Mwenyenzi Mungu anawafanyia wepesi katika uhitaji wenu wa kila siku!

Ninauhitaji Mkubwa wa Kupata Elimu Kiutendaji katika Kazi/Biashara ya Copper Cathodes hasa kwa wale ndugu zangu wanaoifanya hivi sasa au walikwishaifanya hapo awali.... Ninaomba wanishirikishe uzoefu wao kwani Nina uhitaji mkubwa sana kwa sasa katika jambo hili.
Natanguliza Shukrani zangu.

Jonathan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom