Coordinator wa SCOAN Tanzania



Nimeshangaa sana huduma za kiroho zinalipiwa????
people, wake up?
yaani watu wanapenda miujiza bila kujiuliza miujiza inatoka wapi.

Tubu dhambi zako, piga goti umlilie Mungu shida zako, uone kama hatokujibu. Tatizo mnatako majibu ya papo kwa papo
 
Nani, Martha au TB Joshua?

Ukweli ni kwamba tuweke imani kwa Mungu sio kwa binadamu. Bahatu mbaya sana ni wachache wanatofautisha haya mambo mawili. Manabii wamejimilikisha Mungu, na kuona usipoenda kwao wewe hauna wokovu.

Kwa kweli watu wanaumwa sana na makanjanja wanatumia magonjwa ya watu kujinufaisha.

Hivi Watz wanamjua zaidi T.B Joshua kuliko Martha amjuavyo? au Watz wanamjua zaidi Martha kuliko T.B Joshua? Je, unabii wa T.B Joshua haujagundua tu kuwa watz wanahangaika kupata huduma yake kwa kikwazo Martha?
 

Hapo ndo kuna upako wa kweli, ukiwa na hitaji lako jifungie na kusali novena na hakika Mungu hujibu Maombi kadiri ya Mapenzi yake.
 
Nimeshangaa sana huduma za kiroho zinalipiwa????
people, wake up?
yaani watu wanapenda miujiza bila kujiuliza miujiza inatoka wapi.

Tubu dhambi zako, piga goti umlilie Mungu shida zako, uone kama hatokujibu. Tatizo mnatako majibu ya papo kwa papo

Kazi kweli kweli, sisi huku kijijini kwetu huwa tunajiwekea maji yetu kwenye chupa tunaenda kwa baba paroko anayaombea bure kabisa na tunajichotea baraka tele. Na ukimkosa unaenda tu kanisani yamewekwa anajichotea kwenye chombo chako na kuondoka na baraka za Bwana
 
If you would like to visit The Synagogue, Church Of All Nations, simply go to the Questionnaire, fill it out in detail and submit it. Make sure your complete details are included. Please note, you must wait to receive confirmation of your visit from us before making any travel arrangements/ flight bookings. *All communication with The Synagogue, Church Of All Nations should be through the following email address: info@scoan.org. When planning your visit, we advise you to take into consideration that the prayer line at The Synagogue, Church Of All Nations normally takes place every Sunday. Also, please note that any form of smoking or alcohol consumption is prohibited on the church premises.

Click the link below and fill it out in detail and submit it.

Visit Us
 
Unless you live in West Africa, you will need a visa to enter Nigeria. Visa applications are made through the Nigerian Embassy/ High Commission in your country and it is normally a simple procedure. We will send you an invitation letter which you will present to the embassy with your application form, passport, passport photo and the prescribed fee. Please contact us if you need more information.
info@scoan.org.
 
Once you have confirmed your flight arrival times with us, we will arrange for church representatives to meet you at the airport and escort you to the church premises.

We take special care of all our international visitors. They are met at the airport by authorized church personnel and are then escorted to the church which is located on the outskirts of Lagos. The accommodation is on the church premises and visitors do not leave during their stay unless they are taken to the off-site prayer retreat center. Guided by the Holy Spirit, Prophet T.B. Joshua developed the Faith Resort Ground (known as the ‘Prayer Mountain') with its many beautiful waterways, islands, prayer huts, beaches, prayer grounds and Biblical statues. There you will encounter prayer warriors who pray for the ministry, the nations and for partners throughout the world 24 hours a day, seven days a week in accordance with I Thessalonians 5:16. Man's greatest privilege is to enjoy God's presence; the Faith Resort Ground is quiet place to meet with God in prayer (Mark 6:31).
 
Nani, Martha au TB Joshua?

Ukweli ni kwamba tuweke imani kwa Mungu sio kwa binadamu. Bahatu mbaya sana ni wachache wanatofautisha haya mambo mawili. Manabii wamejimilikisha Mungu, na kuona usipoenda kwao wewe hauna wokovu.

Ni T. B. Joshua.

Mkuu ni kigezo gani kinawafanya watu wakimbilie kwa mtu?
Kwani unadhani hayo makanisa yako ya RC na Lutheran hayapo?
 

Yes,sio kosa lako,coz u don knw nthing abt this minstry......na ss yanatolewa bure 4 u a information
 

nndondo asante sana kwa muda wako na very educative message. Kwa kweli umetufumbua macho tulikuwa gizani. Naomba unisaidie email ambayo unaitumia kuwasalina na SCOAN.

NB: Messages za kutoka kwa Martha jioni hii zimepata upako wa TB Joshua.
Praise the Lord.
Long live JF
 
Last edited by a moderator:

Biblical statues ! ..........yaani masanamu ?
 

Mkuu hata sisi tunayo hayo!
 
Biblical statues ! ..........yaani masanamu ?

Kaka salama?
Unafuatilia sana TB Joshua.
Do you want to cross the roads?

Tunaweza kwenda wote Nigeria, wakati sisi tunapiga maombi na kupata Upako, wewe unaweza kwenda kuwasalimia Boko haram.
Sisi tunamhudumia munge wetu na wewe utamhudumia mungu wako, kuwasaidia ndugu zako kupigania uhuru (against who) !!!!!!?????
Tukimaliza tunapanda pamoja ndege na kurudi "Kisiwa cha amani'.
 
..sio maji ya kawaida km unayoyajua ww,by the way....it seems hujui kinachoendelea kuhusu hii ministry....

Kwani kuna tofauti ya kikombe cha Babu wa Loliondo na maji ya anoited !? Yote si yameombewa na Bwana !
 

Wapigania uhuru wale ! Wameshtukia mafuta yanavyomalizwa na westerners. Nyie mmekalia masikioa na kujazwa ujinga wa annoited water !
Kama vile ' gesi haitoki Mtwara !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…