Coordinator wa SCOAN Tanzania

sasa hata upako si unaishia hapo
 
Si wa kwanza au wa pili kuzungumzia kiburi cha Martha.
 

Tabia yaMatha imebeba nini kipo kwenye huduma hiyo ambayo imekuwa inakumbatiwa na matajiri na watu wanaotafuta madaraka!!!

Nakushauri umutafute YESU badala ya Kumutafuta Matha au Kwenda Kwa TB Joshua!!!
Epuka Matapeli !!!!!!
 
dini za siku hizi balaaa, huwa nacheka sana matangazo ya dini siku hizi, utasikia je umezidiwa na madeni? Njoo mlima wa moto/baraka ili ufunguliwe, anayekudai ikikuona tu hakudai tena, sasa hii ni dini au wizi? Dawa ya deni ni kulipa tu sio kukwepa
aaaaahaha khaaa hili la deni sijawai kusikia
 
Tabia yaMatha imebeba nini kipo kwenye huduma hiyo ambayo imekuwa inakumbatiwa na matajiri na watu wanaotafuta madaraka!!!

Nakushauri umutafute YESU badala ya Kumutafuta Matha au Kwenda Kwa TB Joshua!!!
Epuka Matapeli !!!!!!
KING COBRA: dunia ina mihangaiko mingi sana.
Unakumbuka tukivyopanga foleni kwa Babu Loliondo hadi wengine wakafia kwenye foleni?
 
Last edited by a moderator:
yaani watu mnataka mnyenyekewe hata kwenye masuala ya kiroho? Embu tubu umuombee acha kulalama kama mjane alozulumiwa urithi wa mumewe
huna lugha nzuri ya kuchangia hoja? Ni bora basi kukaa kimya
 
[/B][/I]makubwa! sikujua kwamba, just because nina shida, niwe tayari kunyanyaswa na Martha.Msalimie sana Martha.This is Tanzanians philosophy!Nimekuelewa Mkuu, nitaendelea kunyanyaswa kwa imani ya 15th century.Does it make you and Martha happy?
Nadhani tuishie hapa!. Nenda kwenye dini yako watakuambia njia nzuri ya kumpata Mungu na huduma zake kwa taratibu na masharti unayopenda. Ninakuelewa. Na wala hulazimishwi kufuata mafundisho ya imani yoyote. Kama unamjuma mungu mbadala wa wa Kizazi kipya unaweza kuabudu na kufanya vile mnavyokubaliana naye. Hulazimishwi.Mimi nimeshasema ya kwangu. Unaweza kusema lolot lile utakalo. All in all this is the least of what I expected from the beginning. Kwa hiyo, Sumbawanga unaweza kuendelea na malumbano yako ya imani-utamaduni sijui, kwa vyoyote vile upendavyo. Ila mimi sasa sitakuwepo tena, nina business zingine. Usku mwema. ILA FAHAMU KWAMBA MKONO WA MUNGU HAUZUILIWI WALA KUVUTWA NA CUSTOMER CARE. ILA KAMA HAUHITAJI HUDUMA ZA SCOAN, AMA UNAONA KWAMBA MARTHA ANAPUNGUZA THAMANI NA NGUVU YA MUNGU KUPITIA HUDUMA HIYO, UNAWEZA KWENDA KUPITIA MLANGO MWINGINE AMBAKO WATAKUHESHIMU NA KWA HESHIMA HIYO YA KARNE HII MUNGU AKUJIBU MAHITAJI YAKO.UTAKAPOKUWAA TAYARI KUFUATA MISINGI YA KIROHO KWA MAMBO YA KIROHTO, UTAENENDA KIROHO. LAKINI KAMA UNAONA NI AFADHALI UFE NA SHIDA ZAKO KWA KUWA SCOAN HAWAKUNYENYEKEI, HUO NI UAMUZI WAKO. CALL ME ANY NAME YOU WANT! KATIKA MASUALA YA ROHONI WALA USIDHANI UTANIUMIZA ZAID YA KUJISUMBUA NA KUJICHELEWESHA WEWE MWENYEWE!.GUD NIGHT NA KWA HERI!
 

Mungu akubariki mtumishi kwa neno zuri.

LET LOVE LEAD.
 
Wewe Tabby haya maneno yanakuuma. una kiburi na umefilisika km unadhani unatoa huduma bora. na question kiwango chako cha kiroho. umeomba leo asubuhi?
Mimi pia sikupenda huduma zenu na aliyenituma nikamwambia aende mwenyewe ofisini kwenu. shame on you maana mnamuaibisha TB Joshua. badilikeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…