Coordinator wa SCOAN Tanzania

Kwa jinsi SCOAN wa Tanzania (Martha) walivyo wakiritimba, tutegemee hili very soon!
watu wanalipa pesa, ni watu wazima, kwa nini kuwanyanyasa?
What is wrong with us Tanzanians?
Hapo hapo tunawalaumu wanasiasa?

Nikuulize: hivi TB Joshua Mungu ni jirani yake ?
 
Haya sasa. Kazi kwenu msha.buliane mkimaliza mkumbuke Yesu alijinyenyekeza hata mauti ya msalaba. Na watawatambua kwa matendo yenu.

Kweli kabisa?
Kwa nini upige kwata kwenda kwenye uponyaji?
Martha apigishe watu kwata na sisi tunyamaze?
Mbona mkuu wa kaya anagaragazwa hapa?
Martha ni nani?
 
kwanini msinyenyekee wakati mnaenda kupata maji na maombezi ya uzima ....customer care kwako...
 
Is it too much for the Tanzanians to deserve a better service?

By the way, all those who wish to Nigeria pay for the services!
Do not we have the right to deserve better services?

By the way, wao sio omba omba kama marehemu Matonya!
Wanatumia hela yao!
 

Changanya na zako ndugu, Kama wewe ni Mkristu yesu alifundisha na kupractice unyeyekevu ukiona mtu/kiongozi wa dini ana majigambo kibao/hana unyeyeevu ujue hapo hakuna mungu ni ushetani tu
 
kwanini msinyenyekee wakati mnaenda kupata maji na maombezi ya uzima ....customer care kwako...

How do you get there without the harassment of "Martha the greatest

Wote tunaona jinsi waumini wanavyokuwa treated in Nigeria.
Shida ni hapa kwetu!
Lazima mtu mmoja amfunge paka kengere!
 
Hivi nchii hii hata kudai hadi ya kuhudumiwa vizuri ni uhaini?
Hivi sisi watanzania tuna nini?????
Tabby. Huu ugonjwa sijui utaponaje.

Even the "Great thinkers are infected"
 
Let love lead!
 
Changanya na zako ndugu, Kama wewe ni Mkristu yesu alifundisha na kupractice unyeyekevu ukiona mtu/kiongozi wa dini ana majigambo kibao/hana unyeyeevu ujue hapo hakuna mungu ni ushetani tu

You have made my day?
Lakini ina maana siruhusiwi kusema?
Kulalamika?
Nigeuze shavu ili nipigwe kofi jingine?
 

Kwa kuw yeye (martha) ni "go between" wa SCOAN?
Mimi simhitaji kwa namna yoyote zaidi ya ku facilitate safari yangu.
Kama ninamhitaji "kihivyo" nisingekwenda Nigeria
 
You have made my day?
Lakini ina maana siruhusiwi kusema?
Kulalamika?
Nigeuze shavu ili nipigwe kofi jingine?

Hupaswi kulalamika bali unapaswa kumshukuru mungu kwa kukufunilia kuwa hapo hakuna mungu. Wapendwa, msiamini kilaneno lililoongozwa na roho,l
lakini yajaribuni maneno yaliyoongozwa
na roho ili kuona
kama yanatokana na Mungu,m
kwa sababu manabii wengi
wa uwongo wameingia ulimwenguni.
 
Tatizo lako unachanganya mambo ya kiroho na unataka yaendeshwe kwa ustaarabu wa kidunia. Ulimwengu wa roho ni halisi na si huu wa dunia hii. Unachodemand hakina hata u husiano na Mungu kukuhudumia wewe.Why are you fighting Marther as if God has failed to attend you because of her poor customer care as you are calling it! Eti Tanzanian mentality! Dont you know that there is only ONE TRUE UNCHANGING AND UNLIMITED GOD IN THE WORLD AND HEAVENS? Usishangae unashindwa kupokea kutoka kwa Mungu kwa ajili ya kiburi chako na wala si kwa ajili ya customer care mbaya ya Martha.Mungu hafuati ustaarabu wenu wa kidunia.Angalia Naaman mtu maarufu alipona ukoma kwa kujichovya katika mto Jordan. Hakuangalia mito ya kwao ina uzuri gani kunzidi mto Jordan na hakuona kama mto Jordan haukuwa wa hadhi yake. Unashangaza unaposema Mentality za kitanzania et ili uonyeshe utaaluma unyenyekewe hadi kwenye shida zako za kiroho!. Hilo lisahau!. Kwa Mungu hakuna hiyo! Wewe ndiiye unatakiwa kunyenyekea na kutii vile Mungu anakuagiza ufanye. (2KINGS 5: 1 - 14)Kumshambulia Martha ni dalili za wazi za ushamba wa kiroho.
 


I have got your point!
Nitapokea kwa kiburi cha Martha.
 
huyu dada mbona kila mtu anamlalamikia ana nini jamani?@kaunga njoo huku
 


makubwa! sikujua kwamba, just because nina shida, niwe tayari kunyanyaswa na Martha.
Msalimie sana Martha.
This is Tanzanians philosophy!
Nimekuelewa Mkuu, nitaendelea kunyanyaswa kwa imani ya 15th century.
Does it make you and Martha happy?
 

15th Century philosophy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…