Coordinator wa SCOAN Tanzania

Out of topic,nimefika hapo Benjamin mara tatu lkn sijawahi kukuta ofisi zipo wazi,kama waliemuweka Ana kazi sehemu nyingine basi watafute mtu permanent wa kuhudumia watu kuanzia asubuhi mpaka muda wa jioni.....japo sina uwezo wa Kwenda Lagos....

yes yy anajitolea tu
so ofisi ni sa 1 mpaka sa 4 asubuhi
 
Habari njema ni kwamba mama consolata ngimbwa ameombwa na prophet kumsaidia martha baada ya malamamiko yasioyisha kuendelea kumfikia. December watu walioenda wamefurahia na wamepokea baraka maana wameenda kwa amani, martha rip

Praise the lord halleluyah....
 

Martha alijitahidi kwa uwezo wake ingawa alikuwa na mapungufu yake ya ubinadamu. Hata hivyo scoan wameongezeka coordinators baada ya malalamiko. Kwa mtaji huo myu unaweza kwenda scoan kwa kutomtumia martha kaaya
 
Tabby tuwe wakweli huduma haiendi sawa pale...... na utukufu wa Bwana haupo,kwangu mimi wazo kama hilo ni changamoto ya kutumia kubadilika it's always very important to respect "WHAT THEY SAY ABOUT US" for improvement. Sio majibu mepesi kwa wazo gumu kama hilo.
 
Dah!Imani sasa zimekuwa kama mipasho ya taarabu enzi za Khadija kopa na Nasma Hamisi.Enzi za "kinyago cha mpapule nyamaza nikustiri".Ninachokiona hp ni jambo dogo sana la 'kutunishiana misuli',Km ishu ni suala la poor customer service ambalo "wateja" wenu wameliona,si unachopaswa kufanya ni kubadilika na kuboresha pale penye mapungufu?Sitaki kuamini kuwa mnafahamiana na mna personal conflict between you.Jaribuni kuwa wanyenyekevu kama Yesu alivyokuwa mnyenyekevu unless otherwise km hiyo sio huduma ya kimungu.
 
NIMEJIBIWA KAMA IFUATAVYO NA SCOAN...... AS IF ANANIFAHAMU KAMA MIMI NI MDADA....!

SCOAN

Yesterday 14:00

Member Array


Join Date : 22nd March 2014
Posts : 39
Rep Power : 308
Likes Received7
Likes Given23



[h=2]
Mxiiiii[/h]
We mwanamke ni mbeaaa..afu mdomo wako kama unakichungi!!!

Sikupendi kama nini yani...Mxiiiiii

Lione bichwa kuuuuuubwaaaa!!

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app​
 

Well said. Shida ya watz wengi hatupendi kabisa kuambiwa ukweli.
 


Unless watanzania tunakubali kuacha kutoa huduma kama "favor"hii weakness itaendelea kwa muda mrefu sana.

No wonder the kenyans are taking our jobs in hotel industry.......
 
Yaani ningekuwa mimi Martha ningeshukuru kwa maana nimepewa ushauri wa kuboresha huduma lkn naona mtoa taarifa anashambuliwa tena!!!!
Martha badilika,chukulia km changamoto
 

Mkuu, japo ni kweli kiimani tunatakiwa kuwa wanyenyekevu lakini sidhani kama upo sahihi kwa yote unayoyasema. Tukitendewa vibaya tuna jukumu la kusamehe kiimani, je hatupaswi kumfahamisha aliyetunda vibaya kuwa kakosea? Mie sidhani kama ni sahihi kwa mtumishi katika nyumba za ibada kuwatenda vibaya waumini halafu aruhusiwe tu kuendelea kuwatenda kwasababu eti waumini ni wanyenyekevu.
 
Sumba-Wanga naona umeukumbushia huu uzi. Jana nimetukanwa na yule mama wa Scoan. Kisa nimemuambia ukweli
 
Sumba-Wanga naona umeukumbushia huu uzi. Jana nimetukanwa na yule mama wa Scoan. Kisa nimemuambia ukweli

Mkuu huyu mama anawatukana kwa PM au?


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 

Well argued. Hii huduma sio favor jamani.
 
Sumba-Wanga naona umeukumbushia huu uzi. Jana nimetukanwa na yule mama wa Scoan. Kisa nimemuambia ukweli

Funguka mkuu hebu tupashe ilikuwaje?

Nasikia ma coordinator wa scoan wameongezwa. Tunaomba mwenye taarifa zaidi..
 
Yaa wapo macoordinator mama nyoni na mama mgimbwa wote dar mmoja hapo baraka plaza mwingine mbez....
 
Mama nyoni na eng mgimbwa ni coordinators nw raha sana no kuchefuliwa na martha
 

ebu acheni malumbano wapo wengi wanahitaji hayo maji kama huyo matha mnadai ana majibu mabaya kwa wateja,lakini mmesema wapo macoordinators wengine hapa tz basi tupe namba za hao wengine ili watu wakapate huduma kwa hao wengine kama wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…