Coordinator wa SCOAN Tanzania


Hutapata jibu mkuu. Hii biashara kama ile ya jamaa wanaouza dhahabu fake wameweka kwenye kichupa na seal yake. Nasikia na hayo maji yanakuja yakiwa sealed kwenye vyupa hivyo hivyo. Kumbuka wale manabii wa siku zz ukingoni!!!
 

Tembelea emmanuel.tv majibu yote utayakuta
 
Nakupongeza sana Sumba-wangu kwa kua muwazi, haya majitu kama martha ,Tabby and Suzie yapo kila kona duniani ni mapepo tu ,ujumbe umefika achana nayo.
 
Tabby unabwabwaja kama mtu uliyekosa matumaini, sema tu nitajirekebisha we vipi? kama huduma zako mbovu watakuchamba tu . Watu wanataka amani na upendo wew unaleta mikwala wakati unategemea hela zao , Let love lead
 

Umemjibu vizuri huyo anaejiita XXLIZ,however,inatakiwa atujibu maswali uliyomuuliza hapo!
 
Nakupongeza sana Sumba-wangu kwa kua muwazi, haya majitu kama martha ,Tabby and Suzie yapo kila kona duniani ni mapepo tu ,ujumbe umefika achana nayo.

Haswaa,na yameshindwa coz nw tunaenda online 2.,.....na tutamweleza joshua live,mbona tushaenda bwana,joshua na team yake wako vzr 2 na wanahudumia watu wengi duniani kuliko wao!
 

Ndio shida yetu kubwa watanzania.
Ukipanda daladala, ukakanyagwa huna haki ya kuuliza kwa nini.
Unatakiwa kunyamaza tu.
Ukiuliza linakuwa kosa kubwa, jibu utakalopwe na kuambiwa "nenda kapande tax"!
Wala havina hata uhusiano.
Ajabu hata "Great Thinkers" wako mstari wa mbele kutetea Philosophy hiyo

cc Tabby, Mtambuzi, XXLIZ, Suzie
 
Kiby tumekupata.
Kwa nini usianzishe mjadala kama huu kule kwenye jukwaa la Imani/Dini?
Kule ndio mahali pake hasa.
Hapa tunaongelea jinsi coordinator wa SCOAN Tanzania anavyotukwaza.
Tungetaka kujadili kwa undani maswala yako, tungehamia JUkwaa ya dini/imani.
It is not too late, anzisha uzi kwenye jukwaa husika utapata majibu yote
 
Last edited by a moderator:
Hutapata jibu mkuu. Hii biashara kama ile ya jamaa wanaouza dhahabu fake wameweka kwenye kichupa na seal yake. Nasikia na hayo maji yanakuja yakiwa sealed kwenye vyupa hivyo hivyo. Kumbuka wale manabii wa siku zz ukingoni!!!
macho_mdiliko mshauri ndugu yako ahamishie swali lake na aende kuanzisha uji kwenye Jukwaa linalohusika.
Kule atapata majibu yote anayohitaji
 
Last edited by a moderator:
Nakupongeza sana Sumba-wangu kwa kua muwazi, haya majitu kama martha ,Tabby and Suzie yapo kila kona duniani ni mapepo tu ,ujumbe umefika achana nayo.
komesha kila kwenye jambo la Mungu, na wanadamu tunapotaka kumtafuta Mungu wetu, shetani naye hachezi mbali
 
Last edited by a moderator:
Tabby unabwabwaja kama mtu uliyekosa matumaini, sema tu nitajirekebisha we vipi? kama huduma zako mbovu watakuchamba tu . Watu wanataka amani na upendo wew unaleta mikwala wakati unategemea hela zao , Let love lead
komesha, sisi watanzania hatujui hata haki yetu.
Tulizoea huduma za bure wakati wa Ujamaa.
ndio maana jirani zetu wanatutoa kamasi kwenye hi era ya globalization.
Tumeshindwa kabisa kubadilika.
Ukidai haki unashambuliwa.
 
Haswaa,na yameshindwa coz nw tunaenda online 2.,.....na tutamweleza joshua live,mbona tushaenda bwana,joshua na team yake wako vzr 2 na wanahudumia watu wengi duniani kuliko wao!
maria pia

Tumeshamwambia na tunaendelea kuwaambia.
na wewe umwambie.
Mimi nimeandika mails.
Na simu nimepiga kuwaeleze karaha na usumbufu wa Martha.
Wangekuwa wanaelewa Kiswahili tungewapa links za JF

cc nndondo



 
Last edited by a moderator:
nAOMBA NIWATOE UJINGA NDUGU ZANGU, SIFA MOJA YA MUNGU WETU NI KWAMBA YUPO KILA SEHEMU NA WAKATI WOTE, NI IMANI YAKO TU NA KUMUABUDU KTK ROHO NA KWELI!.

Japo siamini katika huu ujinga 'in the name of Mashiku, sorry jesus' lakini mkuu nimependa comment yako! Asante sana.
 
Siamini kaka Great Thinker wana nafasi kwenye maisha ya kiroho.Hebu jikumbushe kuzaliwa kwa Yesu na kuumbwa kwa ulimwengu wewe kama great thinker unaweza ukaelezea kibinadamu?

Upande wangu naamini asilimia mia kuwa wote wanaoenda huko wanataka kuwa na pesa nyingi zaidi.Ukiamini katika roho na kweli kila kitu kinawezekana popote pale ulipo.

NB:Nihatari kwa wale wamtegemeao mwanadamu kuliko Mungu,Mungu yupo na wewe muda wote lakini huamini kama ukimweleza shida zako atakusikia hadi unaamua kwenda kumfuata mwanadamu kwa gharama tena kubwa sana.
 

umeongea point sana, binadamu siku hizi wanawaabudu binadamu wenzao.!

siku hizi makanisa ni sawa makampuni ya kibiashara,

watumishi wa Mungu badala ya kumsifia Mungu wanajisifia wao kwanza, na kutangaza uwezo wao badala ya uwezo wa Mungu.

watumishi sasa hivi hatuna imani, tumejaa tamaa za utajiri tu.
mbaya zaidi tunapenda njia za mkato.!!
 
Nafikiri njia bora zaidi ilikuwa ni kumwambia muhusika na sio kuja kulalamika humu jamvini. Pia mie nashindwa kuelewa kama ni kweli dada huyu anaweza fanya kama mnavyomlalamikiwa kwa sababu wisemen wangeshamwondoa kwenye hiyo nafasi.
 

Ulichoandika kina matundu mengi tu, na inaonesha aina ya imani uliyonayo!

Hebu angalia hapo pekundu ndio utajua! Eti unaiita ni privilege, nakuapia unapaswa kujua kuwa Mungu ndiye anayewapeleka na kuwaponya hao watu, mtu kufanya upuuzi wa kuwatia watu makwazo eti halafu wewe unaiita privilege kuwa nae, kisa analipia ofisi na ku’coordinate safari za kwenda huko, kwani amelazimishwa?!

Unalopaswa kujua ni kwamba hata asingekuwepo, Mungu angeinua mtu mwingine wa kufanya hilo, hivyo wakati unamshauri kiroho kama ulivyosema, mwambie asijivishe umungu mtu kisa ana direct access na prophet, maana hiyo siyo guarantee ya kuingia mbinguni, she has to work her way through it all. Kila mtu ataingia mwenyewe kule.

Ona eti unasema kuwa wale wahudumu wa SCOAN, they tell it to your face na Martha ni cha mtoto?! Huoni hata aibu kuyasema haya humu?! Sijui ulilenga kusifia ama kulaani?! unaleta ushabiki kwenye mambo ya kipuuzi, kwani kuwa mhudumu wa TB Joshua ndiyo standard ya jambo jema na baya?! Kama wanafanya kitu cha kibaya kinabaki kuwa kibaya, so hao unaowasema kuwa ni zaidi ya huyu wa huku kwetu, pata nafasi ya kuwashauri pia kuliko kuja kutetea ujinga humu.

Najua wengi wenu katika hatua mlofikia hamjazoea kuambiwa ukweli jinsi ulivyo.
Imeandikwa wanaojikweza watashushwa…!
 
XXLIZ acha kumsingizia TB Joshua kwamba anatoa maagizo yote kwa martha. Kuna kipindi martha aliwatoza hela zaidi watu tbj mwenyewe akamwambia awarudishie na habari ziliwekwa mpaka facebook tbj akawatahadharisha macoordinator wote wakumbuke wito wao na wasitafute kunufaika kupitia shida za watu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umemuuliza maswali mazuri sana huyu anayejiita XXLIZ itafurahisha iwapo atakujibu.

Hapo pekundu ningependa kusisitiza, wapo watu waliomfuata Yesu sio kwa sababu ya kupata Neno la Uzima bali kwa sababu ya ule muujiza wa mikate na samaki. Sikumbuki kitabu ila imeandikwa kabisa. Hizo sehemu nilizoweka rangi zina mashaka sana! Inaonekana mbuzi ameanza kula kwenye urefu wa kamba yake, sasa anajisahau!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…