dottoz JF-Expert Member Joined Jan 29, 2012 Posts 1,510 Reaction score 881 Apr 1, 2012 #21 Mkuu hii k2 inakubali asilimilia 50 tu ni kwamba memory zngne huwa hazkubali kabsa kufanya hv lakn zngne znakubali,sio kwamba hii njia ni mbaya lahasha ni nzuri sana lakn memory zngne huwa hazkubali. ASANTENI
Mkuu hii k2 inakubali asilimilia 50 tu ni kwamba memory zngne huwa hazkubali kabsa kufanya hv lakn zngne znakubali,sio kwamba hii njia ni mbaya lahasha ni nzuri sana lakn memory zngne huwa hazkubali. ASANTENI